Mhh!! kwani mwanamke akiwa na mimba huwa anajisifu???
Mwambie aje aichukue kama ni yake.
Mhh!! kwani mwanamke akiwa na mimba huwa anajisifu???
Kujisifu na kufurahia ni mambo mawili tofauti.Sanaaa...mungu amekupa zawadi kubwa kwann usiifurahie?
Sanaaa...mungu amekupa zawadi kubwa kwann usiifurahie?
Sidhani kama 'kufurahi' na 'kujisifu' ni misamiati yenye maana linganifu...
Kufurahi hilo nakubaliana nalo, ila nauliza huko kujisifu kwatoka wapi?
Thats why twishen sikosi kuhudhuria