Hili wazo kwa mara ya kwanza lilitolewa na Mbunge mmoja katika bunge lililopita
Kwamba ukienda katika baadhi nchi zilizoendelea utakumbana na hii kitu ambapo wajuzi wote wanajiorodhesha kadri walivyosoma,contact zao ,walio na ajira na wasio na ajira.
Hivyo wawekezaji wakifika nchini humo ni just kuingia katika database hiyo na kuchukua mtsalam wa jambo Fulani.
Nina wazo kuwa sisi humu JF tunaweza kuitengeneza
Nafikiri wenye vyuo wangeanzisha database kwa wote ambao wamegraduate wanafanya kazi wapi.Kungekuwa na taratibu kuwa lazima refarii wako kwenye CV atoke chuoni kwako na waajiri kabla ya kukuajiri lazima wawasilaine na refarii kutoka chuoni kwako