Wazo la Kuudhi: Hawa wangewafaa wakoloni!

Wazo la Kuudhi: Hawa wangewafaa wakoloni!

Wazo la Kuudhi: Wapo makamanda wa Polisi (mfano Kamuhanda na Sabas) na Wakuu wa mikoa (mfano Mulungo) ambao kwa kweli wangekuwa wanapendwa sana na wakoloni! Wangeweza hata kupewa nishani kwa "utumishi uliotukuka". Nina uhakika maafisa waliomkamata Nyerere na kumfikisha Mahakamani kwa uchochezi mwaka 1958 walijiona wametumikia vyema "the Crown"...Historia ina tabia mbaya sana... ya kujirudia rudia!

Mzee Mwanakijiji heshima kwako.

Wazo lako kweli ni la kuudhi, binafsi napenda kuwa mkweli na muwazi, limeniudhi.

Huwezi kabisa kabisa katika mazingira yeyote yale kumfananisha Hayati Mwi. Nyerere na Lema!!!

Lema huyu huyu tunaemuona anapiga mayowe pale bungeni na maeneo mengine ni kwa kuwa anajua fika Tanzania ni nchi ya amani na utulivu.

Kipindi cha hayati Mwl. Nyerere hali haikuwa shwali chini ya utawala wa mkoloni, ndio maana ujasili wa hayati mwl. Nyerere huwezi ufananisha na Lema.
 
Wazo la Kuudhi: Wapo makamanda wa Polisi (mfano Kamuhanda na Sabas) na Wakuu wa mikoa (mfano Mulungo) ambao kwa kweli wangekuwa wanapendwa sana na wakoloni! Wangeweza hata kupewa nishani kwa "utumishi uliotukuka". Nina uhakika maafisa waliomkamata Nyerere na kumfikisha Mahakamani kwa uchochezi mwaka 1958 walijiona wametumikia vyema "the Crown"...Historia ina tabia mbaya sana... ya kujirudia rudia!

Umenena vema, nishani watapewa kwa awamu. Wameanza na SAIDI MWEMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom