Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye input,process na output kwa uelewa zaidi.sitegemei mleta mada ataanza kujiajiri kwa kuanza na kazi ya shoeshine kama alivyoanza bakhresa. Bakhresa katoka mbali sana! Kingine kinachomsaidia ni asili yake pamoja na nguvukazi aliyo nayo. Hivi katika kubuni product mpya mfano azam cola unadhani ni akili ndogo imetumika? Anawatumia waajiriwa wake wasomi anaaowalipa vyema kumuendelezea biashara zake. Hivi unaweza kumlinganisha Mengi na Bakhresa? Kwa nini bakhresa sio public figure? Mengi naye alianzia mbali lakini tofauti. Alianza na product (nadhani ni kalamu za epica). Sasa angalia uendeshaji wa biashara kati ya Mengi na Bakhresa. Nafaka mtu yoyote anaweza cheza nayo ila si media na franchise.
Pia sioni lugha yoyote kali iliyotumika hapo. Hivi utatoka na shahada yako chuoni halafu uende kufungua duka la nguo, kuna ubunifu hapo? ambaye hajasoma hufanikiwa pia ila in a hard way (kama bakhresa). Naye pia ana input, process na output, lakini sitegemei wewe uliyesoma uzikose hizo.
sitegemei mleta mada ataanza kujiajiri kwa kuanza na kazi ya shoeshine kama alivyoanza bakhresa. Bakhresa katoka mbali sana! Kingine kinachomsaidia ni asili yake pamoja na nguvukazi aliyo nayo. Hivi katika kubuni product mpya mfano azam cola unadhani ni akili ndogo imetumika? Anawatumia waajiriwa wake wasomi anaaowalipa vyema kumuendelezea biashara zake. Hivi unaweza kumlinganisha Mengi na Bakhresa? Kwa nini bakhresa sio public figure? Mengi naye alianzia mbali lakini tofauti. Alianza na product (nadhani ni kalamu za epica). Sasa angalia uendeshaji wa biashara kati ya Mengi na Bakhresa. Nafaka mtu yoyote anaweza cheza nayo ila si media na franchise.
Pia sioni lugha yoyote kali iliyotumika hapo. Hivi utatoka na shahada yako chuoni halafu uende kufungua duka la nguo, kuna ubunifu hapo? ambaye hajasoma hufanikiwa pia ila in a hard way (kama bakhresa). Naye pia ana input, process na output, lakini sitegemei wewe uliyesoma uzikose hizo.
Nadhani unasumbuliwa na 'ego'
Mengi anadaiwa kila kona, bakhresa anaikopesha serekali, wafanyakazi wake na kusaidia jamii. Kuwa public figure kwa kugawa mamilioni ya misaada kwa watoto yatima wakati kwenye kampuni yako wafanyakazi unawalipa peanuts sio akili timamu bali ulimbukeni.
Last week nilisikia redioni Bakhresa amezalisha tani mil6 za unga wa ngano mwaka jana pekee. Mtafute mzalishaji kama yeye africa nzima kama yupo.
Hivi unadhani watu wangapi wanamjua warren buffet na Mo ibrahim?
Eti bakhresa kaajari wasomi ndio maana anaendelea? Sasa ulitaka aajiri std 7?? Angepelekaje mbele kampuni nzima pekeyake? Haya professa anayefanya kazi kwa bakhresa na Said Salim mwenyewe nani zaidi? Usitake kutia maji kwenye gari ya petroli ukategemea liende.
Si kila mtu anaweza kurun kampuni? Kumbuka kabla hajaajiri wasomi alianza mwenyewe.
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye input,process na output kwa uelewa zaidi.
tuchukulie biashara ndogo tu ya kutengeneza maandazi kwa mfano.
Input: resources ambazo unatumia kufikia lengo lako la kupata maandazi then uuze kisha upate hela. A means of producing goods and services. Hapa utagundua hela sio resource maana haizalishi kitu. Hizo resources/rasilimali ni kama sufuria, kumi/mkaa/gesi/umeme (kiufupi nishati), unga, wewe mwenyewe (human resource), u name it.
Process: ni ule mchakato wa kutengeneza andazi. Unavyochanganya unga, muda unaotumia, mawasiliano unayofanya kuhusiana na unachofanya, n.k.
Output: ni ile bidhaa (product) au huduma (service) inayotokana na inputs na procecc, yaani maandazi kwa mfano wetu.
Huu mfano unaweza kucheza nao kwa shughuli nyingine yoyote. 2+2=4. Lakini 1+1+1+1=4. hope nimesomeka kiasi
Thanks mkuu sijaona kitufe hapo sijui vimekwenda wapi,Be Blessed kwa mchango wako