Elections 2010 wazo la kizalendo

Oct 12, 2010
29
0
wazalendo wote wanaoipenda nchi yetu TUSIMAME tupaze sauti na tuombe LAANA Ya MUNGU Kwa yeyote ATAKAYE FISADI Au Kuchakachua uchaguzi aidha kutangaza mshindi aliye shindwa kuiba kura kupiga kura kwa msukumo wa rushwa...BASI MUNGU AMFISHE KIFO KIBAYA Mkewe awe KIZUKA Watoto wake wawe yatima mmewe awe mjane... na Watu wote tuseme AMINA Ili tuinusuru nchi yetu...
 
Back
Top Bottom