secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,392
- 43,667
ππ Lamomy, kachezwa mtama hadi kaja kama Labella.Hehehe itakua maana hata Selfika zimetembea Ban
Anyway Fresh tu
Labella hivi kwan ukipigwa ban inauma? Na je inapigwa sehem gani
Atamuangamiza nani πELI COHEN, ni balaa kabisa. Yakufaa umwendee kiutu uzima la sivyo atakuangamiza.
Ni jasusi haswa. Mwulize Lucha, na Munch wa Annabelle.Atamuangamiza nani π
Nasikia eti ni jajusi wa mchongo
Mbona naogopa sasaNi jasusi haswa. Mwulize Lucha, na Munch wa Annabelle.
Ila ukienda naye vyema ni mtu poa kweli kweli π.Mbona naogopa sasa
Usimtaje tena kama ni hivyoπ
Ahaa ok πIla ukienda naye vyema ni mtu poa kweli kweli π.
Haiumi inakupa ushindi kwa mtu uliyempelekea moto mpk kashindwa kuvumilia kaamua aombe usaidizi..!!Labella hivi kwan ukipigwa ban inauma? Na je inapigwa sehem gani
huyu ELi Cohen ndio mpiga banπ π
Njoo unikamate πββοΈHuna adabu kwa wazee! Ukamatwe haraka!!
nakuja my lovely!Njoo unikamate πββοΈ
π€£π€£Mbona naogopa sasa
Usimtaje tena kama ni hivyoπ
Sawa πππ€£π€£
Kuwa na amani mkuu
Ila usinichokoze