Wazo la JamiiSaccos

Hela za serikali tumeshndwa kuzilinda dhidi ya samuya na genge lake, wanakula hadi kuvembewa, na adhabu yao ni kuwazomea waone aibu. Itakua hela za saccos ya Anonimous members?
 
Wazo zuri! Japo mtawalahisishia Teeth kazi .
 
Huko unakoishi hakuna ‘watu’??. Mambo ya kujuana juana sana ndio mwanzo wa kuharibiana CV
 
Huko unakoishi hakuna ‘watu’??. Mambo ya kujuana juana sana ndio mwanzo wa kuharibiana CV
Kule mnajuana kiuhalisia kama unavyomjua jirani yako, ila hizi aka zinabaki huku kwenye forum na hakuna kujitambulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…