wazo la biasharaa

ndg yangu kama ni mwaminifu na unaelim ya au ujasiliamali, mawasiliano, (information communication) wasiliana nami kwa 0715 545485
 
Wacha weeeeee! Mkunde sio mke wa mtu........! Smile kama hiyo huwezi kuiona kwa mke wa mtu

hahaahahaaa mmenichekesha wewe na House Wife , anasema ukweli mie mke wa mtu bana tena husbandito yuko humuhumu achilia Yahaya ambaye alinikimbia now anajirudi na mie nimechunia as watu waliniambia nitapeli so nimemfungia vioo.
Hiyo smile nilizaliwa nayo kama binti2013 she is so cute, mie napenda sana watu wanaotabasamu.
 
Last edited by a moderator:
wata smile saa ngapi asubuhi asubuhi ka kwaruzana na mme wake

mie na ma mkwe wangu wala hatukwaruzani kila mtu ana nyumba na ndoa yake tunaheshimiana na kupeana ushauri jinsi ya kulea waume zetu, wangu ambae ni mwanae na wake ambae ni baba mkwe wangu. Tabasamu hili liko hata ukiniudhi makusudi tabasamu halikauki usoni.
 

Mhhhh! Kumbe House Wife alikuwa anasema ukweli! I promise you itifaki itazingatiwa............!
 
Toa services! Ushauri wa kitaalamu,kuokota makopo,kuzoa taka kitaa,kuwa msaidizi wa fundi muashi hazihitajit capital bali nguvu zako tu!
 
ndg yangu kama ni mwaminifu na unaelim ya au ujasiliamali, mawasiliano, (information communication) wasiliana nami kwa 0715 545485

Unataka kumbebesha mwenzako mabeseni na madeli ya aishikilimu? Nomaa sanaaa!!
 

Thanks Mkunde Original kweli mwaya the best make a woman can wear is her smile....
 
Thanks Mkunde Original kweli mwaya the best make a woman can wear is her smile....

Yeah its true, yaani hiyo avatar yako sichoki kuiangalia she is so cute. Pia namfananisha na picha moja ya katoto flani hivi mtaani kwetu wakati yuko mdogo yaani copy right na avatar yako.
 

hangalau kuna ukweli kidogo...
 
Je nauli yakutokea kwenu vocha kwa ajili ya kuwasiliana yote ni fedha so nilazima uwe na mtaji wa kuanzia kazi yoyote
 
Ngoja nami nijaribu kutabasamu likimea naweka my avator so that u can like me as well. Ngoja natake a gud luk ya binti2013
 
Last edited by a moderator:
Uko maeneo gani? Ni rahisi kukupa wazo kulingana na eneo ulilopo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…