Wazo la biashara na makampuni ya simu Tanzania

Wazo la biashara na makampuni ya simu Tanzania

systemthinking

New Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
2
Reaction score
0
WADAU HABARI,
Nina wazo la kibiashara la kutoa huduma fulani kupitia makampuni ya simu nahitaji mbia/business partner mwenye ujuzi wa maswala ya mobile money/ telecommunication business. Nina imani huduma hiyo itapendwa na wateja wataipata kupitia SMS au application. Huduma hiyo itakuwa pre-paid na kwa kila huduma mtumiaji atakatwa kiasi fulani cha pesa ambacho mwisho wake mimi na mdau atakayejitokeza na kampuni ya simu ya simu itakayohost application tutagawana faida.

Kama upo tayari wasiliana PM
 
Yaani umejiunga mwezi huu na hii ni post yako ya kwanza.
Kabla ya hapo,ungeenda kampuni ya sim ukaulizia taratibu zao kwanza.Sio kutafuta mzoefu wa mambo hayo wakati hujui makampuni yana utaratibu upi.Na kama ni issue kuhusu mambo ya pesa hapo sahau kabisaa.
 
Suala ni kupata partners wa biashara na kuwa innovative. Kujiunga jana au juzi haina faida yoyote.
 
Back
Top Bottom