Wazo la biashara Morogoro mjini

mkuu fanya biashara ya samaki wabichi unatoa mtera unapeleka kweny mabucha hapo mawenzi utanishukulu
 
Hivi zile mbogamboga za majani zinazo ingia Dar es Salaam kule soko la Ilala kila siku kutokea Morogoro huwa zinalimwa wapi? Yaani ni vijijini gani kwa huko Morogoro
Ndio aende vijiji vya kilombero huko kuna fursa nyingi. mfano tuliani, mngeta, mlimba, Chitamlela, mang'ula n.k akiwa na mil 3 inatosha kwa kuanzia.

Baada ya miaka miwili aje hapa kutupa mrejesho.
 
ndio kiongozi nmewai fanya ndo biz iliokuwa inaniweka hapo town kabla cjaingia kwnye kilimo
 
Kwa huo mtaji kama unataka kuishi nao mjini basi kodi kibanda cha machinga kingalu sokoni, weka bidhaa tofauti tofauti, weka kipaza sauti... Hukosi ya kula na kuendeleza mtaji mpaka kuja kumiliki fremu
Hii unamaanisha kuwauzia machinga au
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…