Wazo la biashara kwa 100m

Mkuu nimependa sana hiyi kitu, mkuu kwa hesabu za haraka inabidi uwe na kiasi gani cha kuanzia na vipi kuhusu wataalamu nitawapata kwa njia ipi?
Wataalam sio shida ni kitu kinafundishika haraka nadhani 50M inaweza,kutosha kuanzia
 
Mwanza yanatumika kwenye nini hayo makaa ya mawe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kwanza bro....
 
Mil 100 huna hata wazo la biashara?
Kikwetu tunasemaga Sokapo Apa.
 
Mkuu wangu, Tafadhali Njoo inbox tupeane mambo machache. Nina wazo la manufacturing industry nahisi linaweza likakufaa. Faida ni Baada ya kuuza product miezi miwili ya kwanza. Raw material ni kuemport from china, Soko ni Nchi za Africa Mashariki
 
Mkuu wangu, Tafadhali Njoo inbox tupeane mambo machache. Nina wazo la manufacturing industry nahisi linaweza likakufaa. Faida ni Baada ya kuuza product miezi miwili ya kwanza. Raw material ni kuemport from china, Soko ni Nchi za Africa Mashariki
Karibu
 

Kabla ya kuja inbox au unaweza ukaja inbox kama ukiwa interested. Fanya yafuatayo.

1. Sajiri kampuni
2. Ardhi


Kutoka kwenye Idea Yangu, Mahitaji ni 30m kama capital investment(Machine and Other uquipment) imported from italy and Germany

Production and Operating Cost = 40m kwa mwezi.


Profit ni kama 50m kwa mwezi wa kwanza.

Ni Biashara Nzuri, Soko lipo la kutosha.


Hasara zinazoweza kujitokeza.
1. Moto
2. Wezi
3. Watu wenye roho mbaya
4. Fitina Kutoka viwanda Vya nje
 
Mimi nakushauri ujiunge na mfuko wa utt wa liquid fund au ukwasii au ununue government bond fund utajutia ndugu yangu seriously
 
Vip bado unapokea wazo? Nina wazo la bidhaa ya kuzalisha, soko lipo. Naweza wasilisha?
 
Mmh[emoji848][emoji848]
 
Vip bado unapokea wazo? Nina wazo la bidhaa ya kuzalisha, soko lipo. Naweza wasilisha?
Nakushauri uwasilishe.. watu wenye fedha bila wazo zuri la Biashara huwa wapo wengi tu.
Hata kama mtoa mada alishapata, waweza pata mwingine kama wazo ni zuri
 
huna hiyo pesa, unajaza saver tu humu
 
Mkuu njoo DM, me Nina wazo ni investment ya uhakika na unapewa na bima, million 50 yako utakuja kutoa ushuhuda badae, sio biashara ya kuuza na kununua , we unawekeza, haihitaji mda wako mwingi,
 
Imekaa vizur hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…