Kumbe yule anayekubali mambo hata ya ovyo kwa kuwa tu yamefanywa na kiongozi ndiye MZALENDO?? Labda kwa tafsiri ya ki CCM!! ACHENI KUPOTOSHAHizi ndio sababu
-ubinafsi
-kutokuwa mzalendo
-kiki za siasa
-propaganda
-siasa za maji taka
Kuna sehemu wanaiga lakini wanashindwa kuiga vizuri
0712207633
mawazo ni mepesi kama mlenda. hayashikiki kufikiri kuwa mtu kawaambia nendeni mkashtaki TZ wana ndege wamenunua zishikeni. hivi kampuni toka nje kweli haina wanasheria wanaweza kuishauri cha kufanya kurecoup madeni yake kweli? hii theory ya TL kuwaambia wakashtaki mbona ya kitoto sana jamani. hebu kuweni kidogo. yapo mambo ya kuyatafakari lakini hii theory ni ya wasioenda shule hata kidogo. namshangaa hata bibie ZK kutoa maneno kama yale. yaani sijui tunakwenda wapiKuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.
PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?
CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!
My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania
Free mind@Jaruri
0712207633
Ndo wana jf tulionao kutoka LUMUMBAhaya
mawazo ni mepesi kama mlenda. hayashikiki kufikiri kuwa mtu kawaambia nendeni mkashtaki TZ wana ndege wamenunua zishikeni. hivi kampuni toka nje kweli haina wanasheria wanaweza kuishauri cha kufanya kurecoup madeni yake kweli? hii theory ya TL kuwaambia wakashtaki mbona ya kitoto sana jamani. hebu kuweni kidogo. yapo mambo ya kuyatafakari lakini hii theory ni ya wasioenda shule hata kidogo. namshangaa hata bibie ZK kutoa maneno kama yale. yaani sijui tunakwenda wapi
Jibu hoja acha poroje wewehaya

We si unaweza,,? Jibu hojahaya

Hoja gani ulioleta ya kujibu wewe unavoona!Jibu hoja
Pambana na hali yako bombadia yetu ije mkuuKuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.
PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?
CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!
My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania
Free mind@Jaruri
0712207633
Kuna wakati najiuliza maswali na nina shindwa kupata majibu.Hivi serikali ya Tanzania ni mara ya kwanza inanunua ndege CANADA? jibu kuwa sio mara ya kwanza.
PILI,
Kesi inayosemwa na LISU je ni ya mwaka huu? Jibu ni kuwa ni ya Muda Mrefu,,,,,
Swali;kwa nini ndege zile za mwanzo zilizokuja mwaka jana hazikuzuiwa? kwa nini iwe sasa?
CONNECTING DOTS
Kabla ya tukio hili miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na kelele za kuwa tutashtakiwa mara oooh mara vile eeeh!!!
My thoughts: i am standing to be corrected if am wrong:MAY BE SOME ONE IS TRYING TO PROVE SOMETHING BY PUTTING EVEN WRONG DATA TO GET TO THE PREDETERMINED GOAL.....yaani mtu tayari ana dhana kuwa serikali itashtakiwa and then kuiprove hiyo dhana anatumia njia yoyote ili aje aseme si niliwaambia ,,mmeona??
I mean pengine kuna nguvu flani toka ndani iliyo wafanya watu hawa waamue kuchukua maamuzi haya sasa na sio kwa ndege zile za mwanzo.
These happen only in Tanzania
Free mind@Jaruri
0712207633
Dawa ya deni ni kulipa.Hizi ndio sababu