Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Mtoto wa rais hata ikulu anapiga chata...View attachment 1171789
PIchani RC Paul Makonda akizuzungumza na wafanyabiashara wa kazi mbalimbali za sanaa ikiwa sehemu ya maandalizi ya ujio wa Mkutano wa SADC. (Picha na habari zaidi kutoka kwa Issa Michuzi. )
Kuna mambo mengine ukiyaangalia yanakufanya ujisikie kufyatuka kidogo. Sina tatizo kwa Makonda kuvaa tshirt au mavazi yoyote yanayoonesha imani yake juu ya Yesu Kristu - Bwana na Mwokozi. Anaweza kuvaa mavazi hayo akiwa nyumbani kwake, akienda zake kanisani au kwenye huduma fulani au hata akiwa likizo.
Nina tatizo na yeye kuvaa vazi hili linaonesha maneno ya "Jesus is my Hope" - "Yesu Tumaini Langu" akiwa katika kitu kinachoonesha ni shughuli ya kikazi au ambapo anafanya kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam. Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam siyo jukumu lake kuhubiri Injili au kutangaza imani yake akiwa kazini. Hili ni kweli kwani hata mfanyakazi mwingine wa umma hawezi kwenda kazini asubuhi amevaa tshirt yenye maneno ya kiimani kama hayo.
Huku ndio kunaitwa "kuchanganya dini na siasa" na kuifanya serikali ionekane kama ina "dini". Makonda siyo kiongozi wa kidini hivyo ni makosa ya wazi na yanaoonesha kutokukomaa kisiasa au kiuongozi.
Kama lengo lake ni kutangaza Injili na kushiriki katika huduma ya mavuno basi anaweza kumuomba Rais Magufuli ukipita ugeni wa SADC (au hata mapema) ajiuzulu nafasi yake ili aende kumtumikia Mungu kama Mwinjilisti! Lakini kama ataona vigumu kuomba hivyo basi Rais Magufuli amsaidie kumwarakisha aende kwenye huduma akatangaze habari za wokovu; na kwa jinsi anavyoonekana ana kipawa fulani hivi cha uhubiri. Rais Magufuli amshukuru kijana huyu kwa kazi aliyofanya Dar na ampe likizo hata ya mwaka mmoja (sabbatical) ili aende akahubiri. Akiona inafaa anaweza kumrudisha tena baadaye...
Hili ni wazo korofishi tu...
Wewe ndie umechanganyikiwaView attachment 1171789

View attachment 1171789

HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?
Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?
Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga
Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi
Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?
Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?
Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima
Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
Mmkjj kazungumzia maandishi siyo kibaragashia, kibaragashia hakina dini sawa na kanzu haina dini inaweza kuvaliwa hata na askofu, pete, ushungi ni vitu vya wote, ila ni ajabu kumkuta shehe kavaa kanzu au T-shirt imeandikwa Yesu ni Mwokozi Wangu.HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?
Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?
Wale wanaovaa Rozali muda wote mbona hujahoji?
Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi
Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?
Kwa taarifa yako Makonda Yeye sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga
Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo Wengine, Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi
Mbona hujahoji January Makamba kuvaa kanzu wakati anamkabidhi ofisi Simbachawane?
Wewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?
Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima
Kiongozi wewe ni Gifted Fool,
Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
Barakashia, kanzu ni ustaarabu wa middle east havihusiani na dini
Ndiyo maana hata Nyerere na Mrema walikuwa wakivaa hivyo vibaraghashia,
Tshirt pia siyo tatizo, ila maandishi hayo ukiwa ofisini haijakaa sawa kwa mtumishi wa wote
Mmkjj kazungumzia maandishi siyo kibaragashia, kibaragashia hakina dini sawa na kanzu haina dini inaweza kuvaliwa hata na askofu, pete, ushungi ni vitu vya wote, ila ni ajabu kumkuta shehe kavaa kanzu au T-shirt imeandikwa Yesu ni Mwokozi Wangu.
Unachosema ni sahihi na kibaya zaidi it seems anatumia dini kama siasa, yaani kuvuta hisia za watu na ndiyo maana kipindi kile akiharibu breki ya kwanza ni church na anamake sure camera zimemchukua akisali kwa hisia ili kuvuta public sympathy
Mkuu Baraghashia ni kofia ambayo si vazi la dini."GUSSIE, post: 32376010, member: 262438"]HWewe ndie umechanganyikiwa
Mtu akivaa barakashia kuna tatizo gani?Mzee mwinyi akiwa Rais alivaa barakashia mbona hukuhoji?
Hizo Rozali na tasbihi zina mahali pake.Wale wanaovaa Rozali hujahoji?
Again, tunaurudi kule kule. Katika misiba hapa kwetu Tz wanawake wanavaa khanga na vitenge.Hilo halionyeshi imani, ni kitu cha utamaduni. Lakini basi huo ushungi hauna maneno!Mama Samia, Makamu wa Rais masaa yote ushungi anavaa, Huoni anakwaza baadhi ya watu wanaoamini Katika uhuru na usawa, Ushungi ni iwe Jua kali au baridi. Mbona hujahoji ya Mama Samia kuvaa ushungi?
NI kweli kwamba kila mtu anapaswa kuikiri imani bila woga au hofu, hata wasioamini wana nafasi yao.Kwa taarifa Makonda sio mkatoliki, Kwa Imani ya kikatoliki yakupasa kukiri Imani yako sehemu yeyote ile bila hofu na uoga
Tena hapa unamsaidia MM katika hoja yake.Makonda anakiri Imani yake kwa kuvaa T shirt na hii ni funzo kwa wakristo. Mkristu kubeba Bibilia sio dhambi au kuvaa alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa sio dhambi
MM anashauri huyu jamaa apewe fursa itakayomsaidia kukiri imani yake bila kutumia ofisi za ummaWewe ni nani hata uingilie watu kukiri imani zao mbele ya jamii?
Hizi dini zinatutia upofu kwa baadhi ya nyakati.Mkristu safi au Muislam safi haoni aibu kuvaa ushungi, kanzu, Rozali, barakashia au alama ya msalaba wa Yesu msulubiwa, wataendelea kukiri imani zao daima
Hivi ukiwa si muumini wa dini huwezi kuvaa pete.Mbona hujahoji yale mapete wanayovaa wanasiasa mikononi, Jakaya aliyavaa sana akiwa Rais hata lowasa anayavaa sana na ni Waziri mkuu mstaafu, Je wote wanayapenda na kufurahia alama za mapete yakihusishwa na imani fulani
Hiyo ndio imani yake kwa mimi sioni ajabu
Ukishakumbatiwa na kristo,lazima matendo,mavazi na maneno yawe kikristo
Ili mradi kuvaa fulana akiwa sokoni hakuharibu kazi zake,basi tuwe wavumilivu kwa imani za wenzetu
Maelezo marefu. Ila ngoja kwanza, hivi unaweza vaa baraghAshia kisa baridi? Unazungumzia Makambako ipi?Mzee Mwanakijiji
Naomba nifanye kazi ya uwakili hasa katika mada ambazo baadhi hatuelewi mantiki yake
Mkuu Baraghashia ni kofia ambayo si vazi la dini.
Kule kwetu Bondei, Lushoto, Upareni, Makambako na Uchagani kofia ni vazi la kawaida hasa kwa wazee kutokana na hali ya hewa
Kofia zipo za aina nyingi, zipo ''pama, kapelo, baraghashia, tarabushi n.k.
Dhana kwamba baraghashia ni vazi la dini inashinikizwa na uelewa butu wa nini ni mavazi
Hizo Rozali na tasbihi zina mahali pake. Inatia kinyaa kiongozi wa umma akiwa katika kazi za umma ambazo ni za wote akishika hizo rozali na tasbihi, achilia mbali mavazi yenye maneno Again, tunaurudi kule kule
Katika misiba hapa kwetu Tz wanawake wanavaa khanga na vitenge.
Hilo halionyeshi imani, ni kitu cha utamaduni. Lakini basi huo ushungi hauna maneno!
NI kweli kwamba kila mtu anapaswa kuikiri imani bila woga au hofu, hata wasioamini wana nafasi yao.
Katiba ya nchi imeeleza hilo wazi.Ni ustaarabu kuelewa unafanya nini na kwa wakati gani.
Wakati mchungaji akisoma sala au Sheikh akiomba dua na wewe ukaingilia kati kutangaza imani yako hovyo hovyo kwasababu unatakiwa uikiri, huo ni ushenzi unaohanikizwa na ujuha wa imani . Kumbuka ushenzi si tusi ni kinyume cha ustaarabu Tena hapa unamsaidia MM katika hoja yake.
Kama anaona analo jukumu la kukiri imani yake, basi afanye hivyo bila kutumia nafasi yake inayomtaka aongoze watu wote, wenye imani, wasio na imani , wachawi na vibaka.
Ndiyo maana MM kasema, hajafanya kosa kukiri imani ila apewe fursa ya kichungaji ili akaikiri bila kukirihi wengine kama mtumishi wa umma MM anashauri huyu jamaa apewe fursa itakayomsaidia kukiri imani yake bila kutumia ofisi za umma
Kuvaa t-shirt yenye maneno yanayokera wengine akiwa mtumishi wa umaa kunazua ile hoja ya ''kuchanganya dini na siasa''. Pengine kuchanganya ''siasa na dini'' ni halali!!!
Hizi dini zinatutia upofu kwa baadhi ya nyakati.
Hivi nani anaweza kusimama na kusema ni Mkristo Safi au Muislam Safi?
Ni nani anato hizo hadhi!
Hakuna anayezuiliwa kuabudu, lakini hilo lifanyike kwa kuzingatia ustaarabu.
Tukianza kukiri imani hovyo tutakuwa na ''rule of the jungle''Hivi ukiwa si muumini wa dini huwezi kubaa pete.
Mwanakijiji, kuna hoja nyingine hapa. Tatizo si la mavazi tu . Siku hizi kuna utamaduni unaoudhi sana. Wakati wa Nyerere na waliofuata salam kwa jamii ilikuwa ''Ndugu wananchi''
Siku hizi kila anayesimama kuzungumza ni '' asalama aleko, bwana yesu asifiwe''
Hivi wasioamini na wasio na dini wana nafasi gani katika jamii inayojinasibu serikali haina dini?
Asalaam alaikum ni amani iwe nanyi. Hata hivyo inavyotumiwa ina viashiria vya dini
Kwanini basi watu wasitumie maneno ya ''amani iwe nanyi' ambayo ni common !!
Serkali inatakiwa kuwa na dress code kwa ajili ya wafanyakazi wake ili kuwatofautisha na watu was kijiweni. Mwezi uliopita tu Serkali imetoa orodha ya nguo ambazo hazitakiwi kuvaliwa ofisini au popote Serkalini.Hii si mara ya kwanza kufanya kosa kama hili, hivi karibuni aliwaandalia waislamu futari pale Diamond Jubilee Hall, huku akijua asilimia kubwa waliopo pale ni waislamu akaomba aletewe T-shirt iliyoandikwa JESUS IS MY HOPE.
View attachment 1171793
Naona unalia mpaka umetoa kamasiUtetezi wa kijinga sana, ukweli ni kuwa Makonda ni juha/limbukeni asiyejua avae vazi gani kwa hadhira iliyopo. Makonda huyo si alivaa jeans za vijana wa kileo iliyochanika magotini kwenye ibada ya mazishi ya Mengi? Sio mara moja au mbili amevaa t-shirt za kubana na kuacha misuli na kifua chake kuonyesha kilivyo tofauti kabisa na maadili ya kiongozi wa umma, tena huvaa hivyo anapokuwa kwenye shughuli za serikali.
Huyo dogo ni mshirikina sana, ila anavaa vazi hilo na kuigiza ni mcha Mungu ili kujikosha mbele ya umma kwamba ana hofu ya Mungu, jambo ambalo si kweli. Huyo dogo ni mmoja wa watu wanaoendesha siasa za kimafia ndani ya awamu hii. Hii tabia ya kuvaa mavazi yasiyo stahili kwenye hadhira mbali mbali wanayo hata wanaccm wenzake. Sio mara moja au mbili tunaona wanaccm wakivaa mavazi ya chama chao kwenye shughuli za kitaifa kama uzinduzi wa miradi, misiba, michezo nk. Yote haya ni kutokufahamu dressing code ya eneo husika ili kuonyesha misimamo, imani au itikadi zako kwenye hadhira isiyohitaji mavazi hayo.
Team roho mbaya hamridhiki
Mtapata presha kisa Makonda
Mtataka kumkagua mpaka Rangi za chupi anazovaa, Jadilini ideas sio personal life ya mtu mtapata presha na kuacha familia nyuma zikitaabika
Mbona kama umepanic mkuu relaxMlivyojaa Roho za chuki kwa Makonda, Hata kuandika mnashindwa
Mkuu wewe ukiona neno Makonda hata kusoma Maelezo husomi, Unaanza kuflow chorus ya Chuki na Roho mbaya
Vaa barakashia kanisani kama barakashia haina dini
Wewe huna lolote zaidi ya roho mbaya na chuki, mnajitakia magonjwa mengine wenyewe hasa presha