Wazo Jipya - Mkono mtupu Haulambwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo Jipya - Mkono mtupu Haulambwi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by doup, May 31, 2010.

 1. doup

  doup JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nimeona ile thread ya kuchangia JF; ningependa kuchangia!
  details za Akaunti nimeziomeona.

  Angalizo: Siku hizi waTZ tunapenda sana maisha ya "REMOTE" hivyo basi wahusika wanaonaje wakituwekea hutuma ya kuchangia kwa kupitia M-PESA/ZAP. twaweza weka 500 500 mpaka hesabu ikatimia; na tukasababisha mpango mzima.

  Bank foreni naona zinakatisha watu tamaa

  Asanteni
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Tena mikoani ndio usiseme mpaka ATM ni misururu!..............naiwahi foleni yangu bank
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,641
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  He he he, Naona mnawasema CRDB na NMB hao wazee wa foleni. wazo zuri mia tano tano ni rahisi mtu kurusha kwa urahisi - ingawa pia kuna credit unaweza kuzituma ki urahisi kwa wahusika muda wowote number zao wametoa siku nyingi.
   
Loading...