TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,558
- 28,544
Hiyo ni "traditional ritual" ya Tanzania au Uingereza! Sina uhakika kama kweli Tanzania tuna "rituals" za aina hiyo. Haya ni mambo ya kikoloni ya kuiga tu kwa vile tumetawaliwa na waingereza ambao wanafanya hivyo. Mimi namuunga mkono mtoa mada mambo yaende kielektroniki kama hakutakuwa na mgao wa umeme.Ile ni traditional ritual! Haibadiliki hata tukipata teknologia ya kwenda mwezini! Fuatilia waingereza wana mambo kama haya mengi na hayabadiliki miaka na miaka...kiukweli ni masonic rituals...
Nakuunga mkono, hii kitu nilishasema hapa ila wanaogopa itawsumbuaMe ningeshauri kuwe na automation ya kujua wangapi wana sapport hoja na wangapi wanapinga hoja sio kwa kuipitisha kwa kusema ndiyo au siyo maana kuna wengi wangependa kupinga hoja au kusupport hoja ila wanashindwa kutokana na uinfluence ya wanachama wanzake....ingekuwa bora kama kungekuwa na buttons kwenye sit za wabunge....pale spika anaposema wangapi wanaungamkono hoja let's say wanabonyeza button ya njano..since the system z computerized spika anaweza kumonitor idadi waliunga mkono kwa kupress iyo button n vise versa....naona hii kitu itakuwa inagharama kwenye kuifanyia installation ila itasaidia kukuza democrasia
Me ningeshauri kuwe na automation ya kujua wangapi wana sapport hoja na wangapi wanapinga hoja sio kwa kuipitisha kwa kusema ndiyo au siyo maana kuna wengi wangependa kupinga hoja au kusupport hoja ila wanashindwa kutokana na uinfluence ya wanachama wanzake....ingekuwa bora kama kungekuwa na buttons kwenye sit za wabunge....pale spika anaposema wangapi wanaungamkono hoja let's say wanabonyeza button ya njano..since the system z computerized spika anaweza kumonitor idadi waliunga mkono kwa kupress iyo button n vise versa....naona hii kitu itakuwa inagharama kwenye kuifanyia installation ila itasaidia kukuza democrasia
Tunatakiwa kuongeza ajira kwa ku'create' vitendea kazi venye ufanisi wa hali ya juu. Kuna kitu kinaitwa "Five factors", yaani ubuni kifaa kitakachorahisisha kazi zaidi ya mara tano ya kilichopo sasa. Lengo ni kupunguza uwiano wa maendeleo na matumizi ya nishati. Kumuweka usher kutwa nzima anaweka kabati na kutoa fimbo ni "misuse of resources" vinginevyo kuwe na kazi nyingine ya ziada anafanya.tunafikiria kuongeza ajira na si kupunguza
........
Hii ya fimbo bado sijapata mantiki yake
this is y i like jf
Kuna siku utashauri zitengenezwe robots kwa ajili ya gwaride ili askari wakafanye kazi nyingine za maana. Mweee
Hiyo fimbo ni urithi waliotuachia waingereza, mabaraza ya bunge ya nchi za Commonwealth kariabia yote wanazitumia, ila sijui faida yake nini, ila huyo Usher ana kazi nyingi zaidi ya hiyo uliyo iona hapo.
kama hili ni kweli basi kuna haja ya kubadili utaratibu huo kwa kuweka utaratibu unafaa kwa mazingira yetu ya Kitanzania.Ile ni traditional ritual! Haibadiliki hata tukipata teknologia ya kwenda mwezini! Fuatilia waingereza wana mambo kama haya mengi na hayabadiliki miaka na miaka...kiukweli ni masonic rituals...