JF haiwezi kuchukulia seriously mambo ya mahusiano kama sehemu ya ufisadi. Lakini, twende sawa; hawa waandishi wa TZ hawako makini.Si nilisikia kuwa huyu bwana anapora WAKE za wenzie? Ufuska ndo UFISADI per se
sijasikia tuhuma za ufisadi kwa wasira ila rushwa aliyotumia katika uchaguzi wa nec ndio unaomtia hasira jk na mangula.
Inakadiriwa kwamba wasira alitumia sh 700m kuhonga wajumbe wamchague. Hili limemchafua wasira ndani ya chama.
Sijasikia tuhuma za ufisadi kwa Wasira ila rushwa aliyotumia katika uchaguzi wa NEC ndio unaomtia hasira JK na Mangula.
Inakadiriwa kwamba Wasira alitumia sh 700M kuhonga wajumbe wamchague. Hili limemchafua Wasira ndani ya chama.
Sipati faida kusema uongo kama nisivyopata faida kubishana na yeyote JF. Post yako inajaribu bila mafanikio kushawishi kwamba rushwa uchaguzi NEC zilikuwa zinagawiwa wakati wa uchaguzi. Haikuwa hivyo, wajumbe walishapewa mshiko wao well before ya wiki ya uchaguzi. Wasira ni mgombea pekee aliyeongea na kila mjumbe ana kwa ana....kwa taarifa yako wewe sio mwana CCM, mkutano mkuu safari hii tofauti na chaguzi za jumuiya haukuwa na pesa ndio maana kashinda kwa merits...
Hizo milioni mia saba ulizibeba wewe siku ya jumapili...jk alipiga goli ya kisigino jumamosi wajumbe wakafika jumapili uchaguzi, nafasi ya kuhonga haikuwepo ila uchaguzi ulikuwa uwe jumanne...wasira alishinda fair & square
Misaada kutoka world bank kwa ajili ya huduma za jamii ktk jimbo lake zimepotelea mikononi mwake.
Amepaka rangi jengo la hospital kwa zaidi ya million 200.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
sipati faida kusema uongo kama nisivyopata faida kubishana na yeyote jf. Post yako inajaribu bila mafanikio kushawishi kwamba rushwa uchaguzi nec zilikuwa zinagawiwa wakati wa uchaguzi. Haikuwa hivyo, wajumbe walishapewa mshiko wao well before ya wiki ya uchaguzi. Wasira ni mgombea pekee aliyeongea na kila mjumbe ana kwa ana.
Kama shule yako upande wa hesabu na group psychology inakutosha ingekuwa rahisi kwako kusoma takwimu za kura waliopata wagombea na kugundua kwamba something was serious wrong kwa kura alizopata wasira dhidi ya wapinzani wake.
Mgawanyo wa kura unaonyesha dhahiri kwamba wapiga kura walikubaliana kwa wasira lakini waka deviate vibaya mno kwa wagombea wengine. Group psychology aisemi hivyo na hiyo ni kiashiria tosha cha uchunguzi wa rushwa. Wajumbe aliwahonga wasira wanafunguka na safu mpya ya ccm inafahamu. Kama hard drive yako inatunza kumbukumbu za threads za jf utakuja kukumbuka maneno yangu kwamba rushwa hii ndio itakayomuangamiza wasira.
Uwingi wa kura za nec usikupumbaze hata siku moja maana kila mjumbe anajuwa mwenyewe jinsi alivyopata hizo kura. Utashangaa kwamba waliopata kura chache na au kushindwa uchaguzi wameshindwa kwa heshima mno kuliko walioshinda kwa fedheha maana walishindana na nguvu za rushwa.
Nilikuwapo dodoma wiki mbili kabla ya uchaguzi na wito wangu kwa ccm nikuto kuhadaika na uwingi au matokeo ya chaguzi. Ni wagombea tu ndio wanaweza kutueleza namna kura walivyozipata na hivyo possibility ya kura zao kuakisi ubora wao ni highly questionable. Position ya wasira aliyonayo sasa serikalini inatosha kuchunguza endapo kura alizopata had anything to do with it na endapo mgombea kama le mutuz alikuwa anagombea na wasira from the same line.
Basi hata ushindi wa Godbless Lema umetenguliwa sababu alishinda kwa rushwa pia?kwenu iringa, kama utakumbuka alikuwa NCCR...ukweli ukiwa kichomi upinzani Jimbo linatenguliwa kwa ki memo..asidanganye watu, huyu ni bingwa wa rushwa. Kuna wakati aligombea ubunge akishindana na warioba. Alishinda lakini ushindi wake ukatenguliwa kwa sababu ilionekana alishinda kwa rushwa! Hatujasahau!!
wana jf
leo nilikua wizara ya kilimo na chakula idara ya uhasibu katika mambo ya ambayo nimesikitika ni uzembe na ufisadi wa waziri huyu akiwa katika serekali ya awamu ya nne .
wazira wasira akiwa waziri mwaka jana mwezi 4 alitakiwa kwenda mwanza kufungua kikao cha bodi ya pamba jamaa akakatiwa tiketi ya ndege precision jamaa akalala akapitiliza matokeo yake wizara ikabidi imkodishie ndege ndogo wizara ikaamua kumkodishia single engine small flight akagoma wizara ilikua ilipe dola 8000 kwa safari hiyo kwa aina hiyo ya ndege.
waziri akalazimisha akodishiwe ndege ndogo yenye engine mbili kwa gharama ya dola 13,000 hii ni fedha za walipa kodi pia waiting charge na gharama za kurudi. Ambazo kwa ujumla wizara ililipa jumla ya dola 19,870.
Tukio la pili ni ufisadi wa ununuzi wa gari ya wizara. Mwaka jana (2010) mwezi juni alinunuliwa gari vx v8 ambayo ilikuwa haina friji ndani kwa gharama ya milioni 250 akalikataa akataka zuri zaidi lenye madoido akataka la thamani ya milioni 350 likaletwa mwezi september ambalo alilitumia kwa miezi 2 kabla ya uchaguzi.
Tukio la tatu ni kuibeba kampuni inayoitwa simon group kampuni hii ilipewa miradi yote ya kusambaza na kuchukua vyakula kutoka sgr za serekali bila kutangaza tenda, miradi hii mwaka jana peke yake walipewa miradi ifuatayo. Songea 23.5bn, iringa 19.2bn, rukwa 39.5bn lakini pia ikumbukwe kampuni hii ndio iliyopewa kinyemela uda kwa bei ya kutupa, kampuni hii ndio iliyonunua nyumba ya familia ya mariale kwa 1bn masaki kampuni hii ilipewa mradi mkubwa wa kuingiza matrekta ambayo halmashauri zimelazimishwa kununua matreka ya aina ya power tiler ambayo hayana uwezo wa kufanya kazi na mengi yamekwama. Tujiulize simon group nani yupo nyuma ya hii kampuni?
Wana jf nimeleta uchafuu huu tuujadili na tuangalie huy wasira ambae anafanya kazi kwa karibu na mkulu.
Anataka URAIS. Hili amelisema mara kadhaa kwa watu wake wa karibu. Na kura za juzi mkutano mkuu wa CCM ndio zimemtia kiwewe kabisa. Anajiona kwa sasa ndie bora kabisa CCM. Alikuwa hamtaji Mwalimu tangu alipoangushwa na Warioba mahakamani kwenye ile kesi ya uchaguzi.Kama hana tuhuma za ufisadi sasa anataka nini?