Tetesi: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje anahaha kuonana na Mkulu ili wayamalize

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.

Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.

Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.

Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
 
Si kweli huo ni uzushi tuu, #twendenamembe2020 ni haki yake kikatiba, kuhusu meis waliochukua hela wote walishaondoka hawapo tz, na ukumbuke aliongea hadharani sisi ni watoto wa mama wa kambo which means hata iweje hawezi kuwa sawa na mama yako mzazi.
 
Benard Membe hawez kujishusha kwa Magufuli kwasababu ana kiburi cha kwamba yeye anakijua chama kuliko Magufuli, anasahau kwamba mambo ya kujua chama yamepitwa na wakati , amuulize Lowassa ambaye alisema ambaye hamtaki CCM ahame yeye, lakin tukashuhudia yeye akihamia kwenye ka ofis ka pale Ufipa kana Joto na ndo maana wakaanza kwamba ujio wa Lowassa utakuwa na ,,,,, na,,,,, na akatamani sana kurudi CCM mi leo nimelewa naishia hapa
 
Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.

Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu wa Kaya yetu ili pamoja na mambo mengine aweze kumlilia na kumtaka radhi kwa sintofahamu zote alizosisababisha ndani ya Chama na kwa Wananchi pia.

Majuzi akiwa Canada alishtushwa na kutahayaruki mno baada ya Taasisi ya kuwadhibiti wala zisizo za haki kutangaza kuanzishwa upya kwa uchunguzi na kuwatafuta baadhi ya waliokwapua yale mamilioni huku bayana naye akitambua jambo lile halitamwacha salama.

Kuna kila dalili jamaa yetu BM pumzi IMEKATA RASMI!
HAKUNA KITU UMEKUJA KUPIMA UPEPO???

TAASISI IANZE NA.

1:ALOUZA NYUMBA ZA SERIKALI

2:ALONUNUA KIVUKO /MELIMV BAGAMOYO

3:ALOJENGA DISPOSABLE ROADS

4:ALOPATA RIPORT YA CAG TRION 2:4 .

5:UNUNUZI NDEGE KWA CASH TO MENTION FEW!!
 
Benard Membe hawez kujishusha kwa Magufuli kwasababu ana kiburi cha kwamba yeye anakijua chama kuliko Magufuli, anasahau kwamba mambo ya kujua chama yamepitwa na wakati , amuulize Lowassa ambaye alisema ambaye hamtaki CCM ahame yeye, lakin tukashuhudia yeye akihamia kwenye ka ofis ka pale Ufipa kana Joto na ndo maana wakaanza kwamba ujio wa Lowassa utakuwa na ,,,,, na,,,,, na akatamani sana kurudi CCM mi leo nimelewa naishia hapa
we ni zero brain!

unafikiri kahama kwa kupenda LOWASA???

ALITAKA KUMNSURU MKWE WAKE SIOI SUMARI NA NA ndoo ya mavi alikuwa ananyea ndoo.

ROSTAM AZIZ mdogo wake IKRAM. Ambaye ni jangili mzoeefu.

Kumchezea MEMBE NI kuchezea sharubu za simba!

lets wait imebaki miezi 18 tu sasa!

MWAGA POMBE POMBE SI CHAI ! 2020 si MBALI
 
Back
Top Bottom