Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 19,066
- 22,831
MODS MMESHINDWA KUREKEBISHA KICHWA CHA POST KISOMEKE "BIASHARA".
Serikali imeagiza sukari kutoka Nje.Bei ni 3800-4,000 sio 4,500 na zimepanda wiki 2 zilizopitaSukari sasa kilo moja ni Tsh 4500 hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali ccm ipo kimya makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali??
Nini kifanyike, ili bei iwe 1,500/= kwa kilo?Serikali imeagiza sukari kutoka Nje.Bei ni 3800-4,000 sio 4,500 na zimepanda wiki 2 zilizopita
Jenga kiwanda chako Ili utuuzie 1,500 hicho ndio Cha msingi kinachotakiwa kufanyika.Nini kifanyike, ili bei iwe 1,500/= kwa kilo?
Unafikiri kwa nini bei iko juu?Jenga kiwanda chako Ili utuuzie 1,500 hicho ndio Cha msingi kinachotakiwa kufanyika.
Kwa sababu demand is greater than supplyUnafikiri kwa nini bei iko juu?
Mimi nimenunua leo 4800Wiki haijapita...sasa ndani ya wiki sukari ipae Kwa buku jero
Si kweli, unafahamu kitu kinaitwa modern economy?Kwa sababu demand is greater than supply
Ngoja nikanunue hapa nilipoMimi nimenunua leo 4800
Yule waziri pale kazi kung'ata midomo na kulamba lips tu halafu vitu vinapaa beiMimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
Aiseeee Mama endelea kuupiga mwingi?😂😂😂😂😂😂Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500 hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali ccm ipo kimya makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali??
Huyu mswahili atakuwa Kondoa analoga vizuriSukari sasa kilo moja ni Tsh 4500 hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali ccm ipo kimya makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali??
Aisee..Hii inaitwa chai ya moto kikombe cha batiKesho petrol nayo inapanda
Waziri yupo Itasu Kondoa anajifukiza kwa wagangaAisee..Hii inaitwa chai ya moto kikombe cha bati
Yule waziri pale kazi kung'ata midomo na kulamba lips tu halafu vitu vinapaa beiMimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia