Waziri wa viwanda na boashara je upo??

Ni wapi sukari ni bei hiyo Mimi nimenunua recently shilingi 3000
Mimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
 
Basi mambo ni motooo, but tunaweza ishi bila sukari.
 
Yan sukari ni shida ukija kwenye nauli ndo kelele kwanzia mwanzo wa safari mpaka mwisho , Naomba serikali yangu angalieni ili swalq la sukari na nauli sisi wavipato vidogo tunateseka.
 
Mimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
Jumapilli iliyopita nilimtuma mtoto kununua sukari kilo moja ilikuwa 4200 (Mwanza).

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500 hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali ccm ipo kimya makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali??
Huyo waziri anajificha ficha wacha tuanze kumsagia kunguni ame-relax sana!
 
Enzi ya ujana wetu kunywa chai hadi siku ya maulid, kuna mhindi alikuwa na duka aliitwa sanjay, leo vijana mnataka mywe chai kila siku, dudu zikisinyaa mnalalamika
 
Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500 hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali ccm ipo kimya makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali??
Ana mgao wake hapo
 
Back
Top Bottom