More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 433
- 257
Bwana ww....wanyaji wa pombe wamefulia utamuuzia nani!? Sasa hv kila nyumba ina cherehani na hawana wateja.Viwanda vya vyerehani ambavyo watu wameshikia bango ni viwanda amvavyo Mwijage anatuhamasisha tuwenavyo sisi watu wa kipato cha kawaida katika kuleta maendeleo yetu na watu wanaotuzunguka. Ukiwa na kiwanda cha design ya cherehani au kutengeneza sabuni, kukausha mazao na kupack, kukamua na kupack wine na product zingne niwaz tutaleta maendeleo yetu ya watu wanaotuzunguka kiyrahisi kuliko kusubiri viwanda Vikubwa vya ku assemble magar ambapo tutafaidika na ajira tuu na kubakia katika hali tuliyo nayo.
Wewe hapo ulipo unaweza kuanzisha kiwanda mfano kiwanda cha sabuni aki cost million 7, kiwanda cha kusindika wine akizidi milioni 3, viwanda vya kukamua na kupak mafuta vinaenda mpka milioni 15. Je hapo hujatota ajira!, wewe mwenyewe hujapata!, na bado ni familiy business yenye room ya ku grow!,. Mkuu think big, see the big picture
Kwahyo hnaponadi tz ya viwanda mnataka ambavyo kodi yake n laki 2 kwa Mwaka?