kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Ebu hamisha watumishi wakongwe pale halmashauri ya MVOMERO maana wapo tangu kuanzishwa wilaya na ndio wanao tuaribia wilaya yetu pale toa hao wasije ambukiza wengine pale ktk utendaji mbovu kwa idara zote has a elimu