jamani kwa atakaeiona atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.
Hasa Salenda na Kawe hahahahhaaaaa acha utani Mpwa ila simu zao ziko hewani bado
Missing Malaysia Airlines flight: Why are the phantom phones ringing FOUR DAYS after mystery disappearance? - Mirror Online
Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia anafanya live press conference kuhusu kupotea kwa ndege yao tangu Jumamosi, lakini habari ni ile ile still missing.
Anasema nchi 12 zimeungana katika kuitafuta ndege hiyo, meli 42na ndege 39 wanaendelea kuitafuta ndege yao. Lakini still missing.
Hii ndege imekwenda wapi? Maana mimi naifutilia sana hii bahari kwa kweli nina interest nayo!
Cha kushangaza baadhi ya Ndugu simu zao zinaita tu japo hazipokelewi....soma hapa usinione muongo
Missing Malaysia Airlines flight: Why are the phantom phones ringing FOUR DAYS after mystery disappearance? - Mirror Online