HPLC
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 186
- 133
Hali ya kisiasa kisiwan unguja imeendelea kuwa tata baada ya wazir kushindwa kupata kitoeo cha samaki juzi mnadan hali ilikuwa hiv mnadan
Muuzaji ;samak huyu 2000/= bei ya kwanza????
Mteja 1# 2500
Muuzaji # 2500 mara ya kwanza ??? Mara ya pili??
Mteja 2# 4000
Muuzaji # 4000 mara ya kwanza
Mteja 3# 5000
Muuzaji # 5000 mara ya kwanza
Waziri # 10000
Muuzaji# 10000 mara ya kwanza kimya ;mara 2 kimya mara 3 kimya
Muuzaji# aliyeshinda huyu wa 5000 maana ndo demokrasia ya hapa zanzibar
Waziri kwa hasira kapanda gar lake kaondoka
Source :mm mwenye hapa soko la samaki
My take tusifike huko je wew umelewa nn tafsir ya muuza samaki