Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega fuatilia kinachofanyika barabara ya Tanga -Pangani. Mkandarasi zaidi ya siku 3 ameondoka site

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega fuatilia kinachofanyika barabara ya Tanga -Pangani. Mkandarasi zaidi ya siku 3 ameondoka site

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Kama alivyosema MBUNGE Ummy Mwalimu kuwa mkandarasi amepewa 15 billion, kazi ianze. kweli amefika NA KUANZA KIPANDE CHA cha tanga to Kibaoni, amemwaga vifusi kadhaa akashindiria kidogo na kuondoka.
Naamini amezuga kuwa yuko site kumbe kesha lala mbele!

FUATILIA
 
Inashangaza sana, bado Kuna watanzania wanaamini Kuna uwajibikaji ktk awamu hii.
 
Back
Top Bottom