Waziri wa sheria libya,balozi wa libya india wajiuzulu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kazi ipo wakulu sasa naamini kumbe tukiamua tunaweza dowans wasilipwe na mawaziri husika kuondoka....naona kwenye nyuzi mh waziri wa sheria na balozi wa libya india wameamua kujiuzulu na kuunga mandamano yanayoendelea nchini mwao...wengine ni balozi wa libya kwenye nchii za kiarabu nae amejiuzulu....

Kazi ipo,...
 
Back
Top Bottom