Waziri wa nishati, George Simbachawene atisha kura za maoni

unanitaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2014
2,178
1,045
Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Kibakwe,

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene amekuwa kati ya mawaziri wa Serikali ya Kikwete walioshinda kwa kishindo katika Jimbo la Kibakwe baada ya kuwaacha wapinzani wake mbali sana. Matokeo hayo ni Kama ifuatavyo

1. Simbachawene18,158
2. Mwanyinge 6901
3. Mnyang'ali 3562
4. Sabas 430
5. Ngiliule 214
6. Bendela 410
7. Shahel. 279

Simbachawene huyoooooo anawatimulia vumbi
 
Kwa kura wanazopata ccm kwenye kura za maoni majimbo yote ni kama hakuna upinzani nchini. Ukijumlisha zote kama hakuna mpasuko upinzani must withdraw
 
Hivi kweli hilo jimbo lina wanachama wa CCM wengi namna hiyo? Hawa jamaa wamezoea kufanyiana umafia
 
Hivi kweli hilo jimbo lina wanachama wa CCM wengi namna hiyo? Hawa jamaa wamezoea kufanyiana umafia

Jimbo lina wanachama wengi zaidi ya hao mzee, ccm ni ile ile ohhh ni ile ile, wapinzani wanatetemeka
 
Kwa kura wanazopata ccm kwenye kura za maoni majimbo yote ni kama hakuna upinzani nchini. Ukijumlisha zote kama hakuna mpasuko upinzani must withdraw
Ndugu tambua kuwa hizo kura za Simbachawene 12,000 ni wanachama wapya waliopewa kadi mpya za CCM na kupiga kura bila kusahau walipatiwa na 10,000/=
 
Hata mm nashangazwa sana na haya magamba,eti kuna mgombea mmoja amepata kura 44,000 tena jimbo la Busega kijijini kabisa
Hiyo 44,000 inatakiwa uigawanye kwa 10 kwani kila mmoja aliingia na karatasi 10 za kura.
 
Back
Top Bottom