Waziri wa mifugo

teh teh teh, nikiona post ya mshana jr lazima niikimbilie maana inaniongezea umri wa kuishi.
 
Last edited by a moderator:
akawe mshauri wa mtoto wa mkulima kuhusu kilimo na ufugaji
 
Lakini bunge hili la 2015-2020 litakuwa jepesi sana kwa ccm kuliongoza mana watakuwa wengi mno.
 
Lakini bunge hili la 2015-2020 litakuwa jepesi sana kwa ccm kuliongoza mana watakuwa wengi mno.

kwani lililopita walikua wachache???

mbona walikua wengi na bado walishindwa kuliongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…