Waziri wa mifugo David Matayo apigwa marufuku kutembelea Jimboni kwake Same magharibi leo

Kwa ushauri pia, pata account twitter uongee na wabunge direct weza wakatatua swala la Bendera na Kadi. Nitakuwapo kwenye mkutano huo
 
Kwa kile tunachokiita vuguvugu la mabadiliko Jumapili tar 29/04/ 2012 sa 8 mchana kutakuwa na mkutano Mkubwa katika Kitongoji cha Nkwini kata ya makanya wilaya ya Same ambapo watasimikwa mabalozi wa CHADEMA na baadaye wananchi wanataratjiwa kutoa maoni juu ya mashamba yao ya Mabono waliyonyang'anywa na kupewa mwekezaji huku diwani na Mbuge wakionyesha dhahiri kukataa kushughulikia matatizo hayo. Kwa wapenzi wa CHADEMA na Viongozi Wanaofurahia harakati hizi huku vijijini hasa wilaya ya Same. Tunaomba mtusaidie Bendera 50 na kadi 500 kwaajili ya kazi hii kwani uongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa tumewasiliana nao na wamesema hawana kadi na bendera wanasubiria hadi watakapo pewa toka makao makuu. Kwa kiongozi au mwanaharakati mwenye vifaa hiv tuwasiliame 0788177315 kabla ya siku kufika

safi sana kwa kutoa elimu ya uraia kwa wapare nimempigia katibu wa jimbo akusaidie.
 
Mzee Mtei,kina Zitto wote wapo humu jamvini,watalifanyia kazi hilo swala la bendera na kadi!!!
 
Back
Top Bottom