Wazee wasema jimbo la Same Magharibi liko wazi, waomba Chadema wajipange | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wasema jimbo la Same Magharibi liko wazi, waomba Chadema wajipange

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simon james, May 1, 2012.

 1. s

  simon james JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarehe 26/04/2012 kupitia forum hii nilitangaza mkutano wa kusimika mabalozi wa CHADEMA kijiji cha Nkwini Kata ya Makanya Wilaya ya Same na niliomba kusaidiwa kadi 500 na bendera 50 za CDM kutoka uongozi wa Taifa. Ninafuraha kuwajuza kuwa mkutano ulifanyika kama ulivyopangwa tar 29/04 Na nilipata kadi na bendera . Katika hali ya kustaabisha wazee wakitongoji cha Nkwini Kata ya Makanya wilayani Same wameng'ang'ania Kadi Chache za CHADEMA na kulaani CCM Kwa kuwapotezea matumaini yao na vizazi vyao kwa muda wa miaka 50. wamesema Jimbo la Same Magharibi Limekuwa wazi tangu uchaguzi upite 2010. Hii nikutokana na Mbunge wao David Matayo kutofanya chochote tangu wa mchague, huku akiacha udongo aina ya boxite ukisafirishwa toka Chome kwenda Kenya bila wananchi kunufaika. wameelezea kero zao kuwa ni pamoja na migogoro ya Ardhi, Shule kukosa Choo, kukosa Dispensar, Maji, na ujira mdogo wanaolipwa kama vibarua katika shamba la Mkonge. Wazee hao wamewataka Viongozi wa CHADEMA Kujipanga vizuri ili kuchukua Jimbo La Same Magharibi ambao kwao wanaona kama liko wazi. Hapa nime attach picha ya mzee wa miaka 80 akipokea kadi ya CHADEMA baada ya kurudisha ya CCM. Mkutano ulifanywa na mwanaharakat Godson Mbaga (0752225501)
   

  Attached Files:

 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Nimefarijika sana, nakugongea like mbili
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera sana kamanda. Tuko pamoja ktk kufanikisha mabadiliko ya kweli ndani ya nchi ya Tanganyika.
   
 4. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ina maana kadi za CHADEMA zimekwisha? kwanini hawakupi nyingine? Na kama zinapendwa sana kwanini uongozi usichape nyingi sana ili pia waongeze mapato ya chama?
   
 5. s

  simon james JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili kufanikisha M4C katika kata Ya Makanya, Suji, Gavao/SAWENI na Hedaru nahitaji kadi elfu 7 na bendera mia7 kwasasa nilizokuwa nazo zimeng'ang'aniwa
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu viongozi wa chadema ni vilaza wasio na akili.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 7. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli swala la kadi na bendera bado ni kikwazo ndani ya chama kuna ugumu sana wa kuzipata.Kimo cha huyo mzee alirudisha kadi ya ccm kinadhihirisha hali halisi ya maisha ya mtanzania
   
 8. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hivi umewahi kugundua mtu akikosa afya ya akili kuwa hajitambui mpaka aambiwe nina mashaka na wewe naomba nikuambie afya ya akili yako imedumaa relax, changanua mambo at least ubongo wako utakuwa na kuchambua mabo kwa kina
   
 9. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,219
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  Mwendo huohuo bendera utapata piga mahesabu mpaka mwanga watakujaza kadi na bendera
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mh. Lema na Mh. Slaa, natumaini mnapita humu, nafikili ujumbe pia utakuwa umewafikia.
  Hawa watu wanaitaji Kadi na Bendela tu. Mpango mzima wa M4C wanautekeleza wao.
  Viongozi wetu, jaribuni kusikia kilio cha 'kadi na bendela'
   
 11. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Utakuwa unaliwa na wasomi kama kina Nepi.
   
 12. m

  mahoza JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,242
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Pia na kijiji cha Mwembe wanahitaji huo mwamko . Makamanda wa makanya fikeni mwembe na vudee. Kila la heri.
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah nimehamasika sana kiongozi hizo namba ntazirushia M-pesa ili kuwawezesha zaidi hao makamanda! M4C
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,281
  Trophy Points: 280
  brain concussion
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa hapa ni kwa vile siasa ndani ya CCM imekuwa ni profession ya kupatia utajiri. Kila kiongozi wa CCM anaangalia maslahi yake tu; siyo masalahi ya watu anaowaongoza. Tangu juu, tangu chini manbo ni hivyo hivyo tu, ndiyo maana Tanzania leo inaachwa nyuma kimaendeleo na nchi kama Rwanda, inayolingana na mkoa mmoja tu wa Tanzania. Tungekuwa na viongozi wanaongalia maslahi ya wanaowaongoza, basi kila mkoa wa Tanzania leo hii ungekuwa ni zaid ya Rwanda kutokana na raslimali zetu tulizonazo; ndiyo maana siamini kabisa kama viongozi hawa wanaweza kuiwakilisha nchi hii kwa maslahi yake ndani ya hayo ma-EAC na upuuzi wa aina hiyo.
   
 16. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hongera sana kwa kazi nzuri!
  Weka mikakati vilevile kule Chome, Vudee, Mbaga, Mhezi na Mwembe.
  tureho hammwe.
   
 17. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe kila kitu ni lazima uchangie?****.
   
 18. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Maku ya mamaako. Mjinga kabisa
   
 19. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  niko soo disapointed na Kutokupatikana kwa kadi na bendera!!! this is not politicaly health!! honestly
  CDM Kinondoni please watch out this!
   
 20. s

  simon james JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja Makamanda!! Tuna amini viongozi wa CDM wanapitia humu na kuona tunayo yafanya
   
Loading...