Danken Mbombo
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 651
- 339
Acha kuanika kila kitu kwenye vyombo vya habari, utakuwa hufanikiwi. Juzi kati ulitoa taarifa ya kufanya uhamisho wa watumishi wa idara ya polisi na uhamiaji, kwa maana hiyo umewapa nafasi ya kuweka mambo yao sawa....Jana umetangaza operation ya kuwasaka majambazi kwenye misitu iliyopo mkoani Pwani kwa kushirikiana na jeshi,.. kwa maana hiyo unadhani watakuwa wamekaa tu wanakusubiri uende na vikosi vyako ukawakamate... siyo sifa kutangaza kila kitu, vingine vinafaa kutangazwa baada ya hatua kuchukuliwa