Waziri wa Mambo ya ndani, mulika NIDA wilaya ya Temeke

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Mheshimiwa Waziri, kwa heshima kubwa nakuomba uangalie kinachoendelea OFISI ZA NIDA TEMEKE, ni rushwa pamoja lugha chafu kwa watumishi wake.

Mara nyingi tunapotoa malalamiko huwa wanasema ni wivu na uongo, vijana wangu wa Chuo wamekamilisha kila kitu wamesharushwa na kupewa wiki 3 mara hii ya 3 Sasa kwahiyo ni wiki 9 lakini mzazi mmoja jirani yangu akaniambia nitoe 50000 nikakataa ili nijiridhishe na kweli alitoa kwa kijana mwingine bila barua ya serikali za mitaa ni cheti tuu cha kuzaliwa kapewa siku 7 tayari anakitambulisho.

Nakuomba hawa vijana wanaosoma vyuo vikuu na taasisi za elimu ambao washafikisha miaka 18 wafuatwe hukohuko NIDA za wilaya zimekuwa rushwa tupuu.
 
Muda mwengine tunayatafutaga wenyewe mi nilienda mahala kutokana na matamaa yangu nikaanza tongoza mdada wa ofisini!.. nilichambwa nikakoma nikakomeka!
Msitongoze wadada wanaotafuna Jojo...
 
Muda mwengine tunayatafutaga wenyewe mi nilienda mahala kutokana na matamaa yangu nikaanza tongoza mdada wa ofisini!.. nilichambwa nikakoma nikakomeka!
Msitongoze wadada wanaotafuna Jojo...
Nonsense tunaongelea vitu seriously unaleta habari za kutongozana watoto wa kike wanamtongoza nani??
 
Nonsense tunaongelea vitu seriously unaleta habari za kutongozana watoto wa kike wanamtongoza nani??
Sisi tunawatongoza wao ndio maana sometimes tunajibiwa hovyo huko makazini kwao!.. jitu kama wewe ushakimbilia kutukana!
 
Vitambulisho vya NIDA 'havina maana yeyote' ndio maana mpaka leo wengi hawajapewa.
NIDA ilianzishwa na bwana yule kwa ushauri wa NSO (Pegasus) kuwa ili uweze ku intercept mawasiliano ya wabaya wako kirahisi basi hakikisha namba zao za simu zinasajiliwa kwa kitambulisho maalum (NIDA) ili iwe rahisi kupata namba zao.
 
Sasa wanawakwamisha vijana kwa mambo ya maana wanatakiwa wawe na simu na line zao Sasa wanategemea wazazi kwa kukwamishwa Ile HUDUMA tunaambiwa bure ni afadhali tungelipia ingekuwa rahisi kupata kuliko Sasa hivi watendaji wamekuwa wahovyo sanaa ukitaka kusajili gari NIDA lazima kuuza kitu NIDA lazima ni muhimu lakini hata wakijiridhisha wewe ni raia wanampa mgeni kwa rushwa kuliko raia halali wa nchi hii
 
Sisi tunawatongoza wao ndio maana sometimes tunajibiwa hovyo huko makazini kwao!.. jitu kama wewe ushakimbilia kutukana!
Naona mods wanadharau na usipende kuonesha ule ujinga ulionao hadharani kama hivi Kuna siku utatoa hoja ya maana utadharauliwa . Kuwa makini basi sio unanunua simu janja unajifunzia kujibu watu jf hapa Kuna wakubwa huenda ni wazazi wako huko mitaani hatujuani
 
Mh Waziri kwaheshima kubwa nakuomba uangalie kinachoendelea OFISI ZA NIDA TEMEKE ni rushwa pamoja lugha chafu kwa watumishi wake mara nyingi tunapotos malalamiko huwa wanasema ni wivu na uongo vijana wangu wa Chuo wamekamilisha kila kitu wamesharushwa na kupewa wiki 3 mara hii ya 3 Sasa kwahiyo ni wiki 9 lakinj mzazi mmoja jirani yangu akaniambia nitoe 50000 nikakataa ili nijiridhishe na kweli alitoa kwa kijana mwingine bila barua ya serikali za mitaa ni cheti tuu cha kuzaliwa kapewa siku 7 tayari anakitambulisho nakuomba Hawa vijana wanaosoma vyuo vikuu na TAASISI za elimu ambao washafikisha miaka 18 wafuatwe hukohuko NIDA za wilaya zimekuwa rushwa tupuu
wadada warembo wanapigwa ngono hatari
 
Naona mods wanadharau na usipende kuonesha ule ujinga ulionao hadharani kama hivi Kuna siku utatoa hoja ya maana utadharauliwa . Kuwa makini basi sio unanunua simu janja unajifunzia kujibu watu jf hapa Kuna wakubwa huenda ni wazazi wako huko mitaani hatujuani
😂
 
Back
Top Bottom