GE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso: Zaidi ya Trillioni 1 imewekezwa kwenye mradi wa miji 28

GE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso: Zaidi ya Trillioni 1 imewekezwa kwenye mradi wa miji 28

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekuwa Wilayani Urambo katika ziara ya kikazi ya kimkakati ya kutembelea, kukagua na kujionea maendeleo ya Kazi ya Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kwa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge

Akiwa maeneo ya matukio Waziri Aweso ameshuhudia ulazaji wa bomba la milimita 300 Kijiji cha Kalemela B, Urambo

Aidha, amekagua ujenzi wa matenki mawili katika kijiji cha Kalemela B, Urambo lenye ujazo wa Lita 2,000,000 na tenki la Misheni, Sikonge lenye ujazo wa Lita 1,000,000



Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom