Waziri wa habari wa IRAQ-2003

Maswi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
932
Points
225

Maswi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
932 225
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003.

montroll

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Messages
318
Points
225

montroll

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2011
318 225

kama haya ndiyo maoni jf siyo great thinker. Alichokuwa anakisema yule waziri wa habari iraq ndicho kinachotokea. Ndio maana wamarekani wanatamani kuondoka huku amani bado

Look bwana,dont be dumb, understand that dictors just like our govt here, neiether accept nor understand the peoples's power untill its too late.

Nitaifanya mioyo yao kuwa migumu........kwa sababu ya dhambi zao....ili waangamie.
Tena kwa aibu kuu.

Nguvu ya makundi yao ndiyo inayowezekana na halali, ya wenye nchi haiwezekani na haram!

Madictactor ndivyo walivyo,

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,649
Points
2,000

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,649 2,000
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003.

Yaani Umekurupuka kama vile mtu mwenye uharo halafu kabanwa na ushuzi.

Huyo waziri wa habari mwenyewe hata jina kumjuwa humjui mpaka uchungulie Google.

Mama huu sio ukumbi wa watu wenye makamasi kichwani kama wewe.

Haya matope yako next time kayabandike facebook kule mnakochekewa tu na wasiojuwa bee wala chee.

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,843
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,843 2,000
Shida iko wapi?
Al-Sahaf alikua akidanganya, na zaidi alikua akichekesha!!
Ndo maana hata baada ya Majeshi ya washirika kuiteka Baghdad walimuacha free tu kwa kukumbuka zile burudani za mikwara yake,
Mtoa mada anamkumbuka bado Al-Sahaf kwa kua bado Ghadaffi na wanae wana ndoto za kuitwaa tena Libya wakati reality maji yako shingoni.
Kama hamjaelewa ombeni muongozo badala ya kumkandia mtoa mada

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,188
Points
1,250

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,188 1,250
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003. Umenikumbusha mbali wewe.! Jamaa anaitwa Tareeq Aziz, moja ya mawaziri waliokuwa na mbwembwe enzi za saddam, sijui yuko wapi?

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003. Umenikumbusha mbali wewe.! Jamaa anaitwa Tareeq Aziz, moja ya mawaziri waliokuwa na mbwembwe enzi za saddam, sijui yuko wapi?

haitwi Tariq Aziz wewe anaitwa Al Sahaf. Kama hujui kitu uliza ndugu yangu.

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
14,173
Points
2,000

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
14,173 2,000
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003. Umenikumbusha mbali wewe.! Jamaa anaitwa Tareeq Aziz, moja ya mawaziri waliokuwa na mbwembwe enzi za saddam, sijui yuko wapi?
Mkuu Mchemsho!!

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003.
kinyesi.
hivi ni kitu gani kinachokusukuma mpaka unaleta kinyesi kama hiki hapa? sasa tunajadili nini? Iraq yenyewe unayoiongelea in amani gani? kila kukicha watu wanakufa huko Iraq. jana kwenyewe watu wameuliwa. Au wewe ndo furaha yako? au huangalii vyombo vya habari? Afadhali ya Iraq ya Sadam kuliko hii ya kibaraka wa marekani anayeitwa malik. Ama kweli wewe ni zezeta.

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003. Umenikumbusha mbali wewe.! Jamaa anaitwa Tareeq Aziz, moja ya mawaziri waliokuwa na mbwembwe enzi za saddam, sijui yuko wapi?
Tareeq Aziz au kwa jina lake halisi Mikhail Yuhanna alishahukumiwa kunyongwa mwaka jana.

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,995
Points
1,500

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,995 1,500

Yaani Umekurupuka kama vile mtu mwenye uharo halafu kabanwa na ushuzi.

Huyo waziri wa habari mwenyewe hata jina kumjuwa humjui mpaka uchungulie Google.

Mama huu sio ukumbi wa watu wenye makamasi kichwani kama wewe.

Haya matope yako next time kayabandike facebook kule mnakochekewa tu na wasiojuwa bee wala chee.
Yaani post yako hata Facebook haifai.

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
1,176
Points
1,225

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
1,176 1,225

Yaani Umekurupuka kama vile mtu mwenye uharo halafu kabanwa na ushuzi.

Huyo waziri wa habari mwenyewe hata jina kumjuwa humjui mpaka uchungulie Google.

Mama huu sio ukumbi wa watu wenye makamasi kichwani kama wewe.

Haya matope yako next time kayabandike facebook kule mnakochekewa tu na wasiojuwa bee wala chee.

Ist the limit of ur thinking being? Amavyi!

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
1,277
Points
1,225

Deodat

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
1,277 1,225
kinyesi.
hivi ni kitu gani kinachokusukuma mpaka unaleta kinyesi kama hiki hapa? sasa tunajadili nini? Iraq yenyewe unayoiongelea in amani gani? kila kukicha watu wanakufa huko Iraq. jana kwenyewe watu wameuliwa. Au wewe ndo furaha yako? au huangalii vyombo vya habari? Afadhali ya Iraq ya Sadam kuliko hii ya kibaraka wa marekani anayeitwa malik. Ama kweli wewe ni zezeta.
Wewe sasa ndio mtoa kinyesi..........sijui utoto, nini ambacho hukumwelewa jamaa, kumbuka hapa JF kuna watu wa kila aina, wewe unayefikiri una akili sana ungethibitisha hilo kwa kutumia lugha ya upole na hekima sio huo ush..nzi wako ulio post.

Forum statistics

Threads 1,356,356
Members 518,895
Posts 33,131,005
Top