Ivi ingekuwa ww ndio boss wa hyo wizara ungeyasema hayo ya ukweli halafu utumbuliwe au ungepiga kimya ilmradi watoto waende shuleUkweli huwa haufichiki hata uufiche vipi, hivyo ni bora amesema ukweli kuliko kuendelea kuchelewesha huo ukweli wa mambo.
The oldest profession.WEWE MALAYA?
Miccm na wafuasi wao wote ni manyumbu, ndo maana wanasifia kila upuuzi wa watwana na mawe.upo kundi lipi... fisiemmm au nyumbu
Nyoka alijifanya kutema mate akasau yupo ndani ya shimo fupi mnoo sasa kasikia vishindo vya wanaume juu ya ardhi anaanza kujinyea hapo hajamwagiwa mafuta ya taa na oil chafu, wanaume wataendelea kumjambisha tu na soon atatoka shimoni mwenyewe tena akiwa hajimudu kabsaaaa! hii vita inahitaji akili kubwa sio kichwa hata kb hakina halafu kinaimba vita ya uchumi, nyerere pamoja na exposure yake alichemka big time sembuse huyu kichaa. Kujifunga mkanda wakati kiuno chenyewe nyigu lazima ashindwe tu!Huo upuuzi wa kuungana na watesi na waliotusababiahia Maisha magumu kimaisha hatutaufanya kamwe,hatua tulifikia ni heri tukose wote tuu. The Hard Way The Only Way.
Kesho ikulu itakanushaa..Huyu waziri anapotosha jamii
bibiiii foxThe oldest profession.
Sidhani kama EU imelalamikia umalaya.
Na rais hapendi mawaziri wakweli,anapenda mawaziri wanafiki na waongo kama wakina kangi.huyu waziri ajiandae kutumbuliwa.Anachonga sana huyu uwaziri ataukosa muda si mrefu
Kugawanyika kwenda wapi?Iko wazi upinzan wanasapoti wazungu waweke vikwazo na ndio nature ya siasa za Africa. Hata Libya kuna watu walikua upande wa wazungu.Lkn akili sasa zimeanza kuwarud kuwa hawajamaa walitupotosha. Kama unaona uhuru huu ni mdogo kwako basi fanya ujinga, lkn naamini kuna siku hata hii jf tu utaitafuta kwa tochi