hawawezi kazi wajitoe huu ni ujinga me jeshin siend nw imefika stage yakugoma
Mkuu jeshini hakuna kugoma kuna kuasi tu amri, kwa hiyo wakitaka uende utaenda tu , utalalamika siku ukirudihawawezi kazi wajitoe huu ni ujinga me jeshin siend nw imefika stage yakugoma