Waziri wa elimu kufanya kazi ya ukaguzi wa shule mitaani ni kwamba hamna wakaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa elimu kufanya kazi ya ukaguzi wa shule mitaani ni kwamba hamna wakaguzi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by harakat, Nov 3, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hivi majuzi waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi alikua anakagua baadhi ya
  shule jijini dar na baadhi ya shule hizo alizifunga kwa madaii kwamba hazikidhi
  viwango nyingine hazijasajiliwa na wengine kutumia mtaala wa Kongo DRC.

  hI NDIO KAZI YA WAZIRI?
  hAKUNA JOB DISCRIPTION?
  hAWAJUI WANACHOKIFANYA?

  NAWASILISHA...............
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Kwani Tanzania kuna Idara ya Ukaguzi?
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ni kama haipo mkuu_waziri anafanya vizuri kwani hii idara ni kama haipo au haijitambui,....bravoooo waziri_ila suali moja ajira za walimu lini?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Cheap popularity.
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Haswaa....waziri siyo mtendaji hizo ndizo kazi. Impact ya ukaguzi wake next time kila kitu kitarekebishwa kwenye hizo shule
   
 6. L

  Leliro Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani hapa kuna tatizo. Mimi naona Waziri hatimizi wajibu wake. kama alikuta shule za namna hiyo nina maswali mawili ya kujiuliza 1) Je hua anapata taarifa ya ukaguzi wa shule? je kata hiyo zilipo hizo shule zina mratibu elimu kata? na anafanya nini? 2) Kama anapata na kama hapati taarifa za ukakuzi baada ya kungundua haya yote amechukua hatua gani? ushahidi gani pia atautaka kwa hawa watendaji wake wanaodanganya kila kukicha? mimi ninavyoona (mtaniwia radhi) huyu waziri nae ni taka taka tu kama ni nafaka ni makapi yanayofaa kutupwa kwani hata chakula cha mifugo hayafai
   
 7. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hapa umetumia lugha kali sana ila ni kwa mauchungu uliyonayo tu nadhani yataisha baada ya muda
  wazo langu ni kufanya utaratibu wizara ya elimu iwe na muongozo unaoeleweka hii ndio itakua
  suluhisho la kudumu wakati mungai ameingia alifanya mabadiliko ambayo adhari zake zinaendelea
  kuwepo mpaka sasa huyu anajitahidi hata kutembelea mashule
   
 8. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  waziri katimiza wajibu wake wana jf. Kazi ya waziri siyo ya kukaa mezani.lazima aende field kuona mambo on the ground.hii ni kwa sababu watendaji wengi wa kibongo wanaleta taarifa nzuri za mezani wakati hali halisi siyo hivyo. Next time utaona taarifa zinabadilika na zinakuwa za kweli.

  Waziri piga kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Matokeo ya vipofu kuongozana hayooo!
   
 10. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Then baada ya kuyaona aliyoyaona field alitakiwa aanze na Katibu Mkuu wa wizara na kufuatiwa na boss wa department (iliyo na bold font).

  The Ministry consists of eight departments:


  • Office of the Chief Education Officer,
  • Basic Education,
  • Secondary Education,
  • Teacher Education,
  • Inspectors of Schools,
  • Policy and Planning,
  • Administration and Personnel,
  • Vocational Training.
  • Higher Education
  Other Semi Autonomous Government institutions and Agencies under the Ministry include:

  • Tanzania Institute of Education (TIE),
  • The Institute of Adult Education (IAE),
  • The National Examinations Council of Tanzania (NECTA),
  • Tanzania Library Services Board (TLSB),
  • The Agency for Development Education Management (ADEM).
  Source: Ministry of Education and Vocational Training:::::
   
 11. L

  Leliro Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikweli nilikuwa na machungu sana, wana jf mniwie radhi. lakini nilichokuwa nataka kusema hapa ni kuwa waziri anatakiwa atueleze amechukua hatua zipi baada ya kuyaona haya kwa watendaji wake. Isitoshe wakaguzi wa maeneo haya huenda ndo wanaoongoza kwa kuchukua DSA za kusafiria kuliko watu wengine na kumbe hawajawahi kufika hata zilipo hizi shule. Waziri fanya kazi tunasubiri mshindo wa tukio hili zaidi ya hapo usemi wangu utabaki ule ule - makapi!
   
 12. m

  mhondo JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Rais aliwaagiza kwenye semina elekezi kuwa wasikae tu maofisini bali watoke. Kwahiyo ame/anatimiza maagizo ya mkuu wake wa kazi.
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tatizo la nchi yetu ni kutokuwa na utaratibu unaoeleweka. Waziri anao wajibu wa kujiridhisha kwa kukagua maeneo yaliyo chini yake ili kuona kama kazi zinafanyika ama la!! Sasa tukirudi kwenye alichokipata, ni aibu kubwa sana na hili linajulikana muda mrefu kuwa kuna shule zinafuata mitaala ya nchi tofauti kabisa! Na kuna hata vyuo pia zinafuata mitaala tofauti, kitu ambacho kitatuathiri wote kama taifa.

  Tunahitaji kuacha kuoneana aibu, na kusimamia sheria zetu ili kusonga mbele! tukiwa na mtaala unaofanana shule zote zenye level fulani, inakuwa hatujengi matabaka kwwenye jamii yetu! vyuo vyetu hivyo hivyo, mfano: unaweza kuta chuo cha ufundi kama ilivyokuwa MIST au DIT au kile cha Ausha huku kingine cha VETA wanafundishwa vitu vile vile na hakuna limits, tofauti ni cheti. Tuweke viwango kwenye elimu yetu kulinda maslahi ya nchi yetu.
   
 14. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Mi ningependa aje na Dodoma kwa huo UKAGUZI,maana huku zipo nyingi. Nyingine wanafundishia MAPAGALENI na WALIMU UCHWARA wanao laghai WAZAZI KUWA SHULE ZAO ZIMESAJILIWA ingawa si kweli
   
 15. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu wa idara ya wakaguzi huwa wanasema eti hawana vitendea kazi kzifikia shule zote hasa za mikoani.
  Jamani hata sinza! Hawajaiona au rushwa jamaa ametembeza? Anyway,tutawajua kwa matendo yao!
   
Loading...