slimshedy
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,049
- 1,012
umemsahau na huyu mama wautumishi kairuki kutwa kucha yeye ni kuhakiki tu yani maofisini wafanyakazi hawapo kisingizio wanaenda kuwakikiwa hiii nchi sjui inaenda wapiKijana ungetulia uandike vizuri maana umeandika ukiwa na jazba sana...mi naendelea kusema Kigwangala na Ummy Mwalimu wajiuzulu kazi imewashinda