KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,202
Wakuu habari zenu
Hivi kwa nn watu wanakuwa waongo kiasi hiki tena kwa vitu hata ambavyo ukisema ukweli hupungukiwi kitu nasema haya kutokana na kanusho alilokanusha Waziri wa afya kuwa hakuna uhaba wa madawa wakati hali ilivyo kwenye vituo vya afya tunaijua
ona sasa makamu wa raisi alivyomuaibisha makamu wa raisi anasema kabisa wasiwadanganye kwenye madawa kuna changamoto kidogo sasa waziri wa afya kama unaongopea kwenye vitu vinavyoonekana kama hivi unajipunguzia thamani heshima yako kuwa mkweli tu maana ww acha siasa za hivyo na jua makamu mwenyewa anajua tatizo ni kubwa japo kapunguza kwa kusema kuna changamoto kidogo
UKWELI HUMUWEKA MTU HURU na bosi wako anasema kila siku msema kweli ni mpenzi wa Mungu badilika