Waziri wa afya nchini Uganda, amezindua kipimo binafsi cha Virusi vya Ukimwi kwa kutumia mdomo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,279
Waziri wa afya nchini Uganda, amezindua kipimo binafsi cha Virusi vya Ukimwi kwa kutumia mdomo lengo likiwa ni kuhamasisha wananchi kupima afya zao hususani wanaume.

Uzinduzi huo umelenga kupunguza maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi ifikapo 2020.

Kifaa hicho kimetengenezwa na ‘ Orasure technologies’ mahususi kwa vijana wadogo kuanzia umri wa miaka 18 hadi 24, na kundi lililo katika hatari kubwa ya maambukizi ya Ukimwi, kundi la wafanyabiashara ya ngono.

” kwasasa tunawalenga sana vijana wadogo kuanzia mika 18 hadi 24 ambao wapo katika hatari zaidi ya kupata maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, lakini pia tutawapa wanawake vifaa hivi kwaajili ya wenza wao, pia tutawapa wanaofanya biashara ya ngono” amesema Geofrey Tasi afisa wa kitengo cha upimaji Ukimwi.

Kifaa hicho hakihusishi damu wakati wa upimaji, kinahitaji mate pekee ambayo kama mtu ameathirika na virusi vya Ukimwi yanakuwa na tishu ambazo kifaa cha kupimia kitazisoma.

Kwamujibu wa takwimu zilizotolewa na taasisi ya Ukimwi Uganda (UAC), zinaonesha kuwa kila wiki kuna maambukizi mapya ya watu 1000 na kila mwakwa watu 23,000 hupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

DAR 24

=============================

According to Prof. Anthony Mbonye, the director-general of health services at the Ministry of Health, the new self-test kit is an essential component in the fight against HIV/ AIDS.

The kit was unveiled yesterday during a self- test dissemination meeting at Hotel Africana in Kampala yesterday. Wanyenze said a number of studies have been conducted on HIV self-testing, emphasising that in neighbouring Kenya, the oral fluid self-test has registered enormous results ever since it was rolled out four years ago.

“It will act as a screen test. If the result is positive, we encourage such people to conduct another confirmatory test,” Wanyenze added, revealing that the Government is already drafting mechanisms that will ensure proper sensitisation of the general public about its use.

During the pilot field research, Wanyenze added that the teams never registered accuracy issues.
 
hongera sana kwao!
je twaweza kujua kinapatikanaje kwa hapa kwetu?
je kinaweza kuwa shilingi ngapi?
 
Hii ni hatari
Je ikitokea mtu amejibaini atapata wapi ushauri wa Psychological?
 
Back
Top Bottom