yamejirudia! wananchi wanalalamika, serikali inalalamika!
Hilo sio jipu, muhimbili kuna population kubwa ya wagonjwa tena wengine wamepangiwa tarehe lkn wapo majumbani. Hospitali imezidiwa, tuache kuhukumu, tutafute suluhisho la kudumu kwa kuziwezesha hospitali za mikoa kwa wataalam na vifaa. Masuala ya kulalamika kwenye vyombo vya habari hayaleti afya wala motivation kwa watoa huduma. Cha msingi ni kukaa pamoja na kuangalia utatuzi, kuelekeza sio tiba bali kujadili na kufikia muafaka ndio tiba. Naamini Serikali inatazama masuala haya kwa mapana yake, huenda Hospitali ya Mloganzila itapunguza tatizo hili.huko muhimbili kuna jipu kubwa sana, kuna mtu aliumia mwezi wa saba kaambiwa atafanyiwa operation mwezi wa 9! eti kuna foreni!
sasa kama tatizo ni kubwa hivyo yule naibu waziri mbona anakomaa na docta mwaka badala ya kuadress hizi ishu nyeti!!!!???Hilo sio jipu, muhimbili kuna population kubwa ya wagonjwa tena wengine wamepangiwa tarehe lkn wapo majumbani. Hospitali imezidiwa, tuache kuhukumu, tutafute suluhisho la kudumu kwa kuziwezesha hospitali za mikoa kwa wataalam na vifaa. Masuala ya kulalamika kwenye vyombo vya habari hayaleti afya wala motivation kwa watoa huduma. Cha msingi ni kukaa pamoja na kuangalia utatuzi, kuelekeza sio tiba bali kujadili na kufikia muafaka ndio tiba. Naamini Serikali inatazama masuala haya kwa mapana yake, huenda Hospitali ya Mloganzila itapunguza tatizo hili.
Serikali ina mlalamikia nani?yamejirudia! wananchi wanalalamika, serikali inalalamika!
Wewe ulitaka iweje?huko muhimbili kuna jipu kubwa sana, kuna mtu aliumia mwezi wa saba kaambiwa atafanyiwa operation mwezi wa 9! eti kuna foreni!
Nilitegemea kuna mtu flan mahari flan a-act accordinglyWewe ulitaka iweje?
Kama mnaparamia mapiki piki kama vichaa kwa siku mnavunjika mpaka 50 au 60 lakin uwezo wa hospital uko vile vile unategemea nn?

Hela ya kuhamia Dodoma ingepelekwa kuboresha hospitali z wilaya...tmk, mwananyamala, mnazimmoja, vijibweni n.k.n.kHilo sio jipu, muhimbili kuna population kubwa ya wagonjwa tena wengine wamepangiwa tarehe lkn wapo majumbani. Hospitali imezidiwa, tuache kuhukumu, tutafute suluhisho la kudumu kwa kuziwezesha hospitali za mikoa kwa wataalam na vifaa. Masuala ya kulalamika kwenye vyombo vya habari hayaleti afya wala motivation kwa watoa huduma. Cha msingi ni kukaa pamoja na kuangalia utatuzi, kuelekeza sio tiba bali kujadili na kufikia muafaka ndio tiba. Naamini Serikali inatazama masuala haya kwa mapana yake, huenda Hospitali ya Mloganzila itapunguza tatizo hili.
Watanzania tumezidi kulalamika mno hadi inakera. Doctors are human like you they cant work 24/7. Vifaa ni vichache, vyumba vya upasuaji ni vichache na mahala pa kuwalaza wagonjwa wa upusuaji hapatoshi!!! Utatuzi wa changamoto hizi si kuongeza vitanda muhimbili bali kuzipa uwezo hospitali za mikoa au kuanzisha hospitali za kanda zenye uwezo wa kiwango cha juu kabisa hii itasaidia kupunguza msongamano muhimbili. Nimekuwa miongoni mwa waathirika wa tatizo la muhimbili mgonjwa wangu hakupata matibabu kwa wakati mwanzoni nilikuwa mlalamishi ila baadaye nilielewa. Hatukatai uzembe, huo upo kila sehemu.
Kweli mkuuyamejirudia! wananchi wanalalamika, serikali inalalamika!
Pamoja na wingi wa wagonjwa lkn ruswa imetawala kuna wagonjwa wanaingia pale na siku hiyo hiyo wanafanyiwa upasuaji wanaondoka na kuwaacha waliokuwepo muda mrefu na matatizo kama yakeHilo sio jipu, muhimbili kuna population kubwa ya wagonjwa tena wengine wamepangiwa tarehe lkn wapo majumbani. Hospitali imezidiwa, tuache kuhukumu, tutafute suluhisho la kudumu kwa kuziwezesha hospitali za mikoa kwa wataalam na vifaa. Masuala ya kulalamika kwenye vyombo vya habari hayaleti afya wala motivation kwa watoa huduma. Cha msingi ni kukaa pamoja na kuangalia utatuzi, kuelekeza sio tiba bali kujadili na kufikia muafaka ndio tiba. Naamini Serikali inatazama masuala haya kwa mapana yake, huenda Hospitali ya Mloganzila itapunguza tatizo hili.
Watanzania tumezidi kulalamika mno hadi inakera. Doctors are human like you they cant work 24/7. Vifaa ni vichache, vyumba vya upasuaji ni vichache na mahala pa kuwalaza wagonjwa wa upusuaji hapatoshi!!! Utatuzi wa changamoto hizi si kuongeza vitanda muhimbili bali kuzipa uwezo hospitali za mikoa au kuanzisha hospitali za kanda zenye uwezo wa kiwango cha juu kabisa hii itasaidia kupunguza msongamano muhimbili. Nimekuwa miongoni mwa waathirika wa tatizo la muhimbili mgonjwa wangu hakupata matibabu kwa wakati mwanzoni nilikuwa mlalamishi ila baadaye nilielewa. Hatukatai uzembe, huo upo kila sehemu.
Ndo maana Ummy akasema kuna upendeleo.. haiwezekani watu wanasubiri foleni lakini wengine hawasubiri..!Pamoja na wingi wa wagonjwa lkn ruswa imetawala kuna wagonjwa wanaingia pale na siku hiyo hiyo wanafanyiwa upasuaji wanaondoka na kuwaacha waliokuwepo muda mrefu na matatizo kama yake