Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,657
Ukurasa wa Nne wa Gazeti la Nipashe la leo Umeandikwa hivi; TANESCO IMESHINDWA...
Waziri wa Nishati akiri kushindwa kwa Tanesco kuzalisha umeme, kwa hiyo sasa Shirika hilo litabakia kama wasambazaji tu, wa huduma hiyo! Uzalishaji utafanywa na makampuni ya nje na ndani ya Nchi.
NB
nilishaweka humu taarifa kutoka kwa mtonyaji wa kutoka shirikani kuhusu mpango wa kuligawa shirika hili kwa maharamia ili kupunguza mapato ya serikali.
Wamehakikisha wamelidhoofisha shirika lisiweze kufanya kazi ili kutimiza AZMA yao.
WITO
Bunge liunde kamati maalumu kufuatilia undani wa kulifikisha shirika ktk kushindwa kuhudumia kama litakiwavyo. Na pia kuichunguza kauli ya Waziri kuona kama kuna uingiliwaji kisiasa kwenye utendaji wa shirika. Tuna haki ya kujua ili kuliboresha.
ENRON case