Waziri Tamisemi aonya wakuu wa mikoa, wilaya wanaoweka watu kizuizini ovyo

Ma RC wana kiburi sana eti RC ni sawa na Waziri hivyo hawezi kumpangia....nini afanye au asifanye na hata akifanya tofauti hana la kumfanya! Hilo agizo hata akitoa PM kwa RC bado hawatalitii maana wanakiburi kuwa hawajibi kwake moja kwa moja.......labda Sizonje tu akisema ndio watafuata.....utumishi urudishwe kwa PM warudi kuwaibika kwake sio kwa Rais.....maana Hata DC ana jeuri kwa PM utashangaaa
 
Back
Top Bottom