The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Si atake hayo majina sasa anasema vigogo watatu halafu hawataji majina maana yake nini au ndio unakuwa unamhisi mtu fulani bila kuwa na evidence
too much talking watz, hapa ni watu hao kufahamika bila kusema majina tunayahifadh kwa upumbafu fulan fulan _yawekwe waz halafu tuwafanyie mbaya mafara hawa
Si atake hayo majina sasa anasema vigogo watatu halafu hawataji majina maana yake nini au ndio unakuwa unamhisi mtu fulani bila kuwa na evidence
hii haijakaa sawa hata kidogo - Nasisitiza
Hilo Sitta amelieleza mbonaNa sitoshangaa kama hii ishu ya dowans kuwa ni mkakati wa kusaka fedha za kampeni za uchaguzi 2015
KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA:
Wenye magendo na nia ya dhati kuendelea kuhujumu uchumi na KUTAFUNA RASILMALI YA TAIFA BILA HURUMA, nadhani siku si nyingi sana Wa-Tanzania tutalazimika kidogo kuweka AMANI yetu kabatini na UTAWALA WA KIJANJA WA SHERIA na kuzipitia baadaye kidogo ili vijana kwanza tukamalizane kiaina na nyie. Hapo adabu itakwepo.
Ndio, nadhani njia pekee tuliobaki nayo ni hii hapa. Hakika, itabidi na familia zenu popote pale walipo nao kama hawaoni kwamba mnafanya KUFURU vitendo vyenu vinatuelekeza kuchukua hatua za makusudi kabisa ili sasa tuanze tu na nyinyi pamoja na familia zenu popote pale mlipo - KWA MWENDO WA KUWANYATIENI BILA YA KELELE ZOZOTE ZA MWIZI MWIZI - halafu matamu yake yatakua fundisho tosha kwa wengine wengi wa aina yenu.
Nyinyi si ni wajanja, na wanasheria wote mnao, taasisi zote muhimu tayari mmezinunua ndani na nje ya nchi sio??????????? Sawa basi!!! Huu ujinga tutaufumbia macho hadi lini. Ole wake mtu atumie sehemu ya KODI YANGU kuwalipeni ninyi MASHETANI WAKUBWA!!!!!!!!!!
Nao wanafamilia zenu wamekataa katakata kuwashaurini kutufanyia taifa letu huu UBAKAJI WA KUTISHA WA AINA HII, OK!!!!!!!!!! Hivi kwanza wanachi mnaowakilishwa na watu kama hawa mnajisikieje????
Jasusi ni kweli Valambia hajalipwa, take my words, atalipwa!.Vallambia hajalipwa mpaka sasa. Zaidi ya miaka 25 nafikiri. Kwa hiyo inawezekana.
Gazeti la Mwananchi la leo linamripoti Waziri wa Afrika ya Mashariki Samweli Sitta akiendeleza ahadi zake za kupambana na ufisadi kwa kusema ...."Serikali isiilipe Dowans".......................Na ya kuwa pesa hizi ni mikakati ya kusaka fedha za kampeni za uchaguzi wa 2015................
Habari hii imejirudia tena kwenye magazeti ya Nipashe lenye kichwa cha habari.................."Sitta kuilipa Dowans ni kuhujumu uchumi"
Vile vile gazeti la the Citizen linayo hiyo habari.............