Mimi siamini kama hao wabunge wa EAC wanaenda huko Bungeni hawajui kitu gani wanachoenda kuongea na kama ni kweli basi kuna mamtaizo makubwa nchi hii siyo tu kujua sera gani za nchi za kuzitetea katika hilo bunge.
Eti busara za ghafla zinatoka wapi? umesahau wewe ulikua kiongozi wa masalia ghafla ukawa mzalendo na mtiifu wa Dr.
Acha unafiki kijana kila siku nakwambia au ndo nyani haoni .........? wewe gafla umekua mzalendo kwa Dr iweje kwa EL asiweze kugeuka ghafla na kua na busara,au kisa wewe una masters ya INDIA?
EL amekua waziri mkuu kwa miaka isiyozidi 3 wewe ulitegemea kikubwa kipi kwa miaka miwili ya uwaziri mkuu wakati huo nchi ikiwa imetoka kwenye uchaguz mkuu.
Ni ushamba kubisha kila kitu,anyway labda ndio asili yako thats y unajikuta kila mara uko kwenye makund.
wanafiki kama wewe tumewaona wengi ila Mwisho wa ubaya ni aibu.
masai oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Watake wasitake...
]Ni mwenyekiti wa kamati ya mbunge ya mambo ya nchi za nje, ni mbunge wa monduli, ni waziri mkuu mstaafu na ni mgombea urais ajae kupitiua tiketi ya CCM na mwisho ni mtanzania anayepakwa matope kutokana na ukwasi wake!
]
Wewe hacha uongo waliostaafu tunawajua na huyo lowasa wako si mmoja wao.
ni nani huyo sasa atakayeweza kuleta hayo mabadiliko kama wote hawawezi?
Ni mwenyekiti wa kamati ya mbunge ya mambo ya nchi za nje, ni mbunge wa monduli, ni waziri mkuu mstaafu na ni mgombea urais ajae kupitiua tiketi ya CCM na mwisho ni mtanzania anayepakwa matope kutokana na ukwasi wake!
Mkuu Allen, kumbe hawezi?!, sasa nani anaweza?.Nakubaliana nawe Lowasa hawezi kulete changes zozote ni msanii tu, alikuwapo serikalini mda mrefu mpaka ngazi ya waziri mkuu je alifanya nini cha maana? zaidi ya kukwapua pesa za walipa kodi!. Ninamuonea huruma kutojitambua kwamba siku zake zilishapita.
Mkuu Allen, kumbe hawezi?!, sasa nani anaweza?.
Pasco.
Mkuu BAK, waliojitajirisha kiharamu tunawajua, wengine mpaka malkia kawasaidia kuwabaini hadi a/c na kiasi kilichipo kilitajwa, mmewafanya nini?!.Fisadi mkubwa aliyejitajirisha kiharamu kwa kutumia nyadhifa mbali mbali alizowahi kushika Serikalini anayeutaka Urais 2015 kwa udi na uvumba.
Mkuu Independent Voter, usemayo ni kweli, ila kwa opinion yangu, he was the best, 2005, not 2015!. Sababu ni Age!.Salima Ahmed Salim(SAS),andika mahali jina hili halafu ukifika wakati tutadurusu pamoja kukumbushana hii tarehe ya leo!
1:Salim Ahmed Salim (born 23 January 1942, Zanzibar, present-day Tanzania) a Tanzanian diplomat who has worked in the international diplomatic arena since the early 1960s. Salim is married to Amne and they have three children: Maryam, Ali and Ahmed.Mkuu Independent Voter, usemayo ni kweli, ila kwa opinion yangu, he was the best, 2005, not 2015!. Sababu ni Age!.
Pasco.
[/B]5:Wilbrod Peter Slaa (amezaliwa tarehe 29 Oktoba 1948) alikuwa mbunge wa jimbo la Karatu katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[SUP][1][/SUP] Baada ya kugombea urais mwaka 2010 si mbunge tena, ila anaendelea kuwa katibu mkuu wa chama cha CHADEMA.
6:ZITTO KABWE
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kigoma Kaskazini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]24 September 1976[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu BAK, waliojitajirisha kiharamu tunawajua, wengine mpaka malkia kawasaidia kuwabaini hadi a/c na kiasi kilichipo kilitajwa, mmewafanya nini?!.
Kwenye EPA, imekamatwa mijizi imekwapua mihela ya ajabu!, ilifanywa nini?, sasa kama yeye amejitajirisha kiharamu, uharamu huo uko wapi?, kama watu wamefanya biasharta mpaka ikulu, na wengine wameigeuza ikulu ni pango la walanguzi, ukilinganisha na alichofanya yeye, si ni ataonekana ni malaika?!.
Hili la kuutaka urais kwa udi na uvumba, nalo neno!, laiti ungalijua hiyo ni "sauti tuu ya mtu aliye nyikani" akiyatayarisha mapito ya yuajaye ambaye aja!, usingeyasema haya!.
Hata hivyo, kwa rais wa 2015, ni yule yule aliyeandikwa!, "liandikwala ni kama lisemwalo, ndilo liwalo!".
"Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
Na kwa wale ambao hamuamini kuwa hilo linawezekana, nawahakikishia, "nothing is imposible under the sun!", na "lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!", kama ni kubisha tuu for the sake of kubisha!, endeleeni kubisha!.
Pasco.