Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya


Hili taifa likiwa na watu wa aina yako wengi, litapotea!
 
Kutokana na maelezo ya Simbachawene, ni muda muafaka wa sisi kuuliza kama kweli katiba mpya na tume huru ni takwa la wananchi au wana CHADEMA
Wananchi wajibu mara ngapi Mr Aiko ?!. Hiyo kazi iliyofanywa na tume ya jaji Warioba
 
Wananchi wanataka haki itendeke katika chaguzi. Whether ni CCM au Chadema au ACT wataingia madarakani kihalali haijalishi.
Huyo huyo iwapo mwananchi angesimama na kumzungumzia katiba angekuja kivingine au kumkamata huyo mtu. Wananchi siyo wajinga wanajua wapi pa kudai katiba. Siyo hiyo mikutano fake ya CCM kwa kivuli cha serikali.
 
Amefanya utafiti wapi na kuona watanzania hawataki Katiba mpya? Wasiwasemee Watanzania maoni Yao yaliwekwa kapuni.
 
Alikudanganya nani.alitumbuliwa baada ya kuwasumbua machinga
Aliachia ngazi mwenyewe baada ya ripoti ya makinikia kumgusa, kumbuka vizuri, akiwa waziri wa tamisemi wa magufuli msaidizi wake akiwa Jaffo, ripoti ya makinikia ilimtaja pia (Ilimtaja sababu alikuwa waziri wa madini kipindi cha JK), ndipo akaandika barua kuachia ngazi
 
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Katiba mpya ili pawepo na utawala wa sheria na sio matamko yasiyokuwa yakatiba. Kama itakuwepo Katiba mpya hata nyinyi kama mtashinda kiuhalali mtaongoza miaka yote sio shida.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kuna makabila hayafai kutoa viongozi, wagogo hawafai kabisa. Huyu na ndugai ni machizi
 
Halafu msajili wa vyama vingi anataka mkutano baina ya IGP na Vyama vya Siasa ili watatue 'tofauti' zao, huku mtunga sera na mtekelezaji mkuu wa ilani ya CCM ktk wizara ya mambo ya ndani yaani waziri wake tayari ameshafanya utafiti wake kuwa waTanzania hawahitaji katiba Mpya!
 
Katiba ndo inasimamia nchi au watu ?tatizo lenu hamuelewi tofauti Kati ya katiba na watu,mnavichnganya kwa pamoja!!
Kwahiyo sasa hivi hakuna watu? mbona kila kitu kiko hovyo hovyo, hao watu waisimamie hii katiba ilete mabadiliko chanya basi tuone. Katiba ni muongozo, na muongozo wetu uliopo sasa ni mbovu, unatumika kunajisi kila kilichopo. Katiba mpya ya wananchi ndio hitaji la sasa acheni kuruka ruka.
 
Kukaa kimya nayo huwa ni busara, kuliko kubeza maoni ya wenzako waziwazi kabisa.
 
Angeongelea wapiga kura wake labda ndo hawataki katiba mpya ,siyo watanzania. Watanzania tunapataka katiba mpya. Tume ya Warioba ilikuja na majibu ya Simbachawene. Kama hakikuwa hitaji la watanzania tume ya Warioba iliundwa ya nini, hadi bunge la katiba likaundwa. Umuhimu wa katiba mpya upo
 
 
Hilo bunge la katiba liliharibiwa na nani? Si hao wapinzani fake ambao wengine ni mabalozi kwa sasa? Hamjawahi kuwa serious, na hamtokuja kuwa serious, chama pekee ambacho kinaweza kutuletea katiba mpya siku wakiamua ni CCM, siyo nyie wachumia tumbo, wapinzani njaa njaa
 
Huyu kasoma open University uzeeni...hatari ya katiba yetu tukipata kiongozi katili kuliko mwendazake atauwa watu hadharani hii mijitu haioni mbele
 
Hajatenda HAKI kabisa. Watu kama Hawa hudumaza taifa

Tatizo kubwa ni hao wanaomsikiliza na kumpigia makofi, imagine kama wangemgomea na kuzomea hiyo kauli unadhani wangeendeleea kuirudia tena na tena?? Yaani Wallace Karia wa TFF akubali kuweka sheria mpya ambayo itambana na yeye kupata uongozi thubutuuuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…