Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,253
- 26,162
Kiongozi gani alirudi nchini bila ndege ya Rais?Ni kama tu mfano umerudi nyumbani bila Gari, wakati uliaga familia yako unaenda nayo Dodomq Kikazi.
Halafu urudi nyumbani kwa Boda boda, Je mke wako hatotaka jibu kuhusu wapi ilipo Gari ya Familia?
Utajibu hivi halafu akae kimya tu?