Waziri Simbachawene: Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa Dubai upuuzwe!

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais mh Simbachawene amewataka Watanzania kupuuza Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa nchini Dubai

Simbachawene amesema wanaosambaza habari kwamba Ndege ya Rais Gulfstream G 550 inashikiliwa nchini Dubai hawaitakii mema Nchi Yetu

Source: Jambo TV
Inaelekea hata yeye hajui ilipo ila ameambiwa kakanushe tu.
 
Na wewe usipomtukana kuna shida gani?
Yeye na sisi wote hatujui ilipo.
Usiniweke kwenye kundi letu la mazezeta hilo. Mimi najua ndege ipo nchini. Na viongozi wetu wanaitumia. Hayo ya imekamatwa Dubai ni uzushi na upuuzi wa kiwango cha lami
 
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais mh Simbachawene amewataka Watanzania kupuuza Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa nchini Dubai

Simbachawene amesema wanaosambaza habari kwamba Ndege ya Rais Gulfstream G 550 inashikiliwa nchini Dubai hawaitakii mema Nchi Yetu

Source: Jambo TV
Picha ya ndege iko wapi? Na wakati inakatiza anga kwenda Dubai mbona hawakujitokeza kukanusha
 
Hata Magufuli tuliambiwa yuko mzima anapiga kazi
Magufuli uliambiwa ila hakuwahi kuonekana.

Wewe hujaziona picha za Makamu wa Rais akishuka kwenye ndege yetu Angola? Hijaziona picha za Rais akishuka kwenye ndege yetu Afrika Kusini?

Ngojeni niwafundishe kitu juu ya Jamii Forums. Hili ni jukwaa la Great Thinkers. Enzi hizo jukwaa hili linaanzishwa humu zilikuwa zinamwagwa facts tu na uthibitisho. Sio mambo ya kizushi alafu bado wajinga mnayang'ang'ania tu.

Kwa kifupi ndo mana tunawaita mazezeta maana mambo mnayosema sio tu kwamba ni uongo ila pamoja na ndege kuonekana ikiwa na viongozi wetu ila mmezidi kuung'ang'ania huo ujinga
 
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais mh Simbachawene amewataka Watanzania kupuuza Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa nchini Dubai

Simbachawene amesema wanaosambaza habari kwamba Ndege ya Rais Gulfstream G 550 inashikiliwa nchini Dubai hawaitakii mema Nchi Yetu

Source: Jambo TV
Kusema tu tupuuze bila kutupa ufafanuzi tutaishia kukupuuza wewe waziri
 
Back
Top Bottom