Katika hali isiyokuwa ya kawaida hapa Arumeru Magharibi ni kwamba naibu waziri wa nyumba na makazi mh Ole Medeye amezomewa barabara nzima alipokuwa akitokea kwenye mkutano wa kampeni wa kata ya Bangata hapa Arumeru Magharibi.
Hali hiyo ilimfanya dareva wake akimbize gari kwa mwendo usiokuwa wa kawaida ili kumuondoa kwenye kamera za waandishi wa habari.