Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
Waziri nyanga mwenyedhamana ya vikosi anawalinda CUF nao wako kimya nao ni mafisadi.
Kwanza karibu sana JF, naona hii ndio post yako yakwanza. CUF nao ni mafisadi kivipi?, manake hujaeleza Waziri anawalinda kwa ufisadi upi.
Kama CUF iansema hawananyama mabunju wajionee wenyewe kwa hivyo siasa imewashinda wakauze kahawa. kazi ya siasa ni kuzungumzia kwa manufaa ya nchi. ikiwa miaka 15 angu cUF IANZISHWE ishanza kuchoka, miaka 50 itakuaje. au ndio imekosa madaraka na kazi basi?CUF waseme marangapi?
Wakisema maovu ya viongozi wenu mnaanza kuwaandama wao. Sote tunakumbuka jinsi Mh. Mulla alivyo weka hadharani ufisadi wa Wizara ya Elimu unaopelekea matokeo mabovu ya mitihani ya kitaifa ya watoto wetu, matokeo yake Waziri Haroun Ali Suleiman akalia lia kwa Kificho(spika) aombwe radhi kakashifiwa, nini kilitokea?
Matokeo mengine mabovu ya mitiahani ya kidato cha 4&6 mwaka uliofuata.
Hakuna aliewajibika licha ya kelele na waziri Haroun anasema eti hata Wakati wa Maalim Seif alipokuwa waziri kulikuwa na matokeo mabovu mbona hakujiuzulu na wananchi wakamfurahia majibu yake pumba!
Mi naona wakati mwengine bora wajinyamazie tu "mabunju" wajionee wenyewe.
Kama mabunju yana miba si afadhali wayaache yachomane weeeee!!! kwani CUF mara ngapi imepiga kelele za ufisadi na ubovu wa viongozi lakini Mibunju imelishwa nini sijuwi haitaki kuelewa au inafanywa isielewe. Saivi mambo yanaharibika wamebaki "...oooh lakini CUF wamesema ivyo..." wapi!! wapeni serikali muone kama itafika miaka 10 nchi ipo masikini tu!!! Miaka 50 ya mafisadi badala ya kuwaletea wananchi maendeleo wanaendelea wao na familia zao tu, wanatwambia "...nchi zote za ulimwengu wa tatu mambo ndo hivi hivi..." uwongo mtupu, mbona wao wanaishi maisha ya ulimwengu wa kwanza????Kama CUF iansema hawananyama mabunju wajionee wenyewe kwa hivyo siasa imewashinda wakauze kahawa. kazi ya siasa ni kuzungumzia kwa manufaa ya nchi. ikiwa miaka 15 angu cUF IANZISHWE ishanza kuchoka, miaka 50 itakuaje. au ndio imekosa madaraka na kazi basi?
Cuf si inasema inashinda kila chaguzi, sasa inalalamika nini kama hawapewi kura. au ndio tuseme haipewi kura na wananchi na sio kunyanganywa ushindi?Kama mabunju yana miba si afadhali wayaache yachomane weeeee!!! kwani CUF mara ngapi imepiga kelele za ufisadi na ubovu wa viongozi lakini Mibunju imelishwa nini sijuwi haitaki kuelewa au inafanywa isielewe. Saivi mambo yanaharibika wamebaki "...oooh lakini CUF wamesema ivyo..." wapi!! wapeni serikali muone kama itafika miaka 10 nchi ipo masikini tu!!! Miaka 50 ya mafisadi badala ya kuwaletea wananchi maendeleo wanaendelea wao na familia zao tu, wanatwambia "...nchi zote za ulimwengu wa tatu mambo ndo hivi hivi..." uwongo mtupu, mbona wao wanaishi maisha ya ulimwengu wa kwanza????
Tunaomba ufafanuzi Bwana mkubwa. Kwani huko SMZ kuna Mawaziri wa kupumzika na Mawaziri wa kufanya kazi. Jee ni vipi hiyo kazi ya awali Bw. Nyanga aliifanya-fafanua- tafadhali ili tuweze kuichangia hii mada.Kwanza waziri Nyanga kapelekwa pale kupumzika baada ya kuonekana anawabania wakubwa mambo yao alipokuwa Wizara ya Fedha. Huyu jamaa musimuonee kabisa.
nasikia hata waliohusika hawakuguswaTunaomba ufafanuzi Bwana mkubwa. Kwani huko SMZ kuna Mawaziri wa kupumzika na Mawaziri wa kufanya kazi. Jee ni vipi hiyo kazi ya awali Bw. Nyanga aliifanya-fafanua- tafadhali ili tuweze kuichangia hii mada.