Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza!

Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na Yanga wakiwapokea wageni wanapokuja kucheza na hizi timu kitendo ambacho kilitafliwa kama ni kukosa uzalendo!.

Lakini hakuishia hapo alienda mbali zaidi nakusema kuwa kwa mtu yeyote atakuja uwanjani amevaa jezi ya timu za kigeni katika michezo miwili itakayo chezwa hapa nchini kati ya timu ya Simba na Yanga basi huyo mtu lazima awena hati ya kusafiria kwamaana huyo atakuwa siyo mtanzania! kwakukosa uzalendo!

Hapa ndipo palikuwa na shida kuhusu kukataza mashabiki kuvaa jezi za timu zinazokuja kucheza na Simba na Yanga,ili lilikuwa nikosa kubwa sana katikanyaja ya kimichezo pia na katika mahusiano ya kidpolomasia ya michezo ilitia doa kubwa!.

Lakini kibaya zaidi CAF walikuja juu kutaka kujua hizi kauli ila kimtizamo TFF Nikama walikana! kwa barua yao ya kuihakikishia CAF kuwa kila kitu kitakuwa sawia!

Sasa kitu ambacho kinatia shaka ni huyu msemaji wa Serikali aliposema Mh Damas Ndumbaro alikuwa katika utani hii ni aibu kwa Waziri na hakuhitajika fagio bali ni yeye kutoka adharani kama alivyotoka adharani na kusema kauli yake!

Lakini kwa kauli ile nafasi za uteuzi aziwezi kumuacha salama ni swala la muda!
 
NATAMANI TANZANIA TUFUNGIWE SIKU MOJA, VIONGOZI WAJIFUNZE ATHARI ZA MATAMKO

Shida moja anatuchukulia simple tu, kwa cheo chake anaona labda ni aibu kuomba radhi kumbe sio..

Uungwana ni kuchutama, kuteleza kibinadamu ni kawaida..

Wasimtetee ajifiche kwenye kivuli cha utani maana yeye mwenyewe alinukuliwa akisema Hatutanii
 
huyo jamaa kajaa kamasi kichwan kama aliyetoa tamko.
Aakikupa sababu unitag nimekaa pale nasubir gari ya kuosha
Kwanza nadhani huyu jamaa hana kumbukumbu angekumbuka huyo anayemtetea aliwahi kutoa tamko akiwa Sheria na Katiba angekaa kimya Kawaida huwezi kutoka Wizara kubwa kama Katiba na sheria ukaja kuwa Waziri wa Michezo!SIyo siku nyingi zijazo Hamiss Mwinjuma atakuwa full minister wa hiyo wizara na huyu Ndumbaro Mei Afiki!
 
Back
Top Bottom